TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

Mbwiga88

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
642
Reaction score
142
Wadau kama kichwa kinavojieleza....cjui hili mnalielewaje??......nawasilisha
 
hawajisomi hawa mi nimesoma CBG wameniwekea ba in education!
 
Mbwiga88 BREAKING NEWS!!!! TCU imebadilishia course applicants,..go and check NOW!

Mkuu, mbona hapo kwenye Red sijakuelewa! ufafanuzi tafadhali.
 
Afu wengne ndo tunaenda jeshi sasa cjui wanampango gani na cc
 
CBG ndio hawasomi ualimu? Kwa akili hizo wamefanya makosa kukupanga chuo. Ungefaa urudie masomo sekondari
 
mi nimexoma ECA WAMENIPACHIKIA BA ENGLISH NA SUA ETI,PAMOJA NA PSYCHOLOGY.SIELEWI HAWA JAMAA VP
 
Poleni vijana,nashukuru nimevuka hivyo vikwazo salama,sasa na hiyo jkt mnayokwenda mtafanyaje marekebisho ?
 
Wadau kama kichwa kinavojieleza....cjui hili mnalielewaje??......nawasilisha

Bila kufanya hivyo course nyengine zitakosa wanafunzi, usishangae kuona hivyo, kama hujaridhika unaweza kukata rufaa, jinsi gani ya kukata rufaa kwakweli hapo sijui onana na wadau wa TCU.
 
Wadau kama kichwa kinavojieleza....cjui hili mnalielewaje??......nawasilisha

daah me corse zangu mbili za chaguo la kwanza kutoka ardhi university wameniachia vile vile, ila hzo zngne tatu zilizobak majangaa wameniwekea macorse ya ajaaaabu!! nashndwa kuwaelewa hawa jamaaa cjui vp?
 
yani nmechanganyikiwa kesho naenda jeshi kufungua tcu nakuta niwekewa theology, education, law vyuo na courses hata cjachagua!
 
Back
Top Bottom