Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Nilikua napitapita maeneo ya chuo kutafuta mtu wa kunibeba huku nikiwa nathaminisha viwango hili kontena jipya la tcu,lakn nimegundua tcu wameshndwa kazi yao kabisa,wametuletea kontena la mchina,sasa nashndwa kuelewa,ni kwamba huko jkt maafande wamewatafuna sana hawa watoto au ni vp?ila ngoja tuwape muda angalau wapokee boom na wapgwe na haka kaupepo ka hapa mjini tuone kama watabadilika,kwa maana wamekomaa na kupauka sana!