Tcu imenifanyia hivi!!!

Tcu imenifanyia hivi!!!

Ndugu jf
Niliomba admission kupitia TCU katika unversity mbali mbali kama vile Mucobbs lakini chakushangaza nimechaguliwa na kozi wameweka wanayo jua wenyewe nakuacha ambazo mimi niliziweka katika selection account yangu...hapa najiuliza nitasomaje kozi ambayo sijachagua wala sina interest nayo?
naombeni msaada chakufanya.
wewe tatizo lako ni kama la rafiki yangu ni hivyohvyo ali apply procurement wamempa hyo hapo marketing and enterprenuership.
 
je? Hiki chuo vipi
maliaa mimi pia nilichagua kozi mbili hapo muccobs ambazo ni law na procurement and supply management! Wakanipeleka marketing and intaprenyuaship dah hebu ni pm!
 
Back
Top Bottom