Tcu,,inawataka wanafunzi waliokosa vyuo na ambao hawakuomba,,,waombe,,vip loan?

Tcu,,inawataka wanafunzi waliokosa vyuo na ambao hawakuomba,,,waombe,,vip loan?

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Wakata TCU ikiwataka wanafunzi waliokosa vyuo kuomba tena vyuo kuanzia tarehe,,,14/10/2013,,,na wakati wanafunzi wanafunzi waliochaguliwa,,wengi wao wapo nyumbani wakiangaika kutafuta,,,fedha ya kulipa ada na mambo mengine,,,sasa inaonekana elimu ya Tanzania kila mtu anaichenzea tu kama anavyotaka,,,,tunaenda wap?wanafunzi wengi wapo mitaani,,bado mnazingizia watu waombe kumbe,,,mnataka waombaji wapya,,ili mjipatie fedha,,,hiyo iko poa kweli?
huu,,sio ungwana tatueni kwanza matatizo yaliopo,,,,
 
Habari yenu!
Naomba mwenye tangazo atuwekee.
Nimetafuta mwenyewe kwenye website yao sija liona.
 
Back
Top Bottom