Tcu-ingiza jina lako uone chuo na coz uliyochaguliwa

Tcu-ingiza jina lako uone chuo na coz uliyochaguliwa

sembembe

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Ukiingia kwenye link ya tcu utakuta wamerahisha kwakuweka index no.mwaka jina lako lakwanza na lamwisho ukiona haumo tulia bado wanaendelea
 
vip jamani kuhusu bodi ya mikopo wanasemaje na wanatoa ada na allowance...................
 
vip jamani kuhusu bodi ya mikopo wanasemaje na wanatoa ada na allowance...................

Kwa nijuavyo mimi bodi mwaka huu wanaangalia course unayoenda kusoma,wakati unajisajili na tcu kuna course zilikuwa priority na non priority kupata mkopo,kama umepata priority una uhakika wa %80 kupewa mkopo usiopungua %50 na ikiwa o level hujasoma shule za kulipia mamilioni,kama umepata non priority course mkopo ni bahati nasibu ingawa inasemekana wengi watanufaika mwaka huu,na majina yatatoka wiki ya mwisho ya mwezi wa tisa,hii inatokana na ucheleweshwaji wa majina ya waliochaguliwa kuingia vyuoni na pia kuna idadi kubwa ya wanafunzi walitakiwa kufanya marekebisho kwenye fomu zao za mikopo na deadline ilikuwa jana tarehe 30 mwezi august.
 
Mkuu nichekien hapo s0465/0103/2010 Jina ERASTO MUHAGACHI Tafadhar wakuu kwa anaejua. Niko mbali na mtandao bandg! Ahsante
 
Nipo kigoma vijijin tafadhar nisaidien jna la ndg huyu Okey ni BARAKA ERASTO MUHAGACHI majina yake kamili ni hayo .S0465/0103/2010 bandg naomben msaada tcu nasikia wametoa huduma flan ya kuangalia .ahsanten. Okey nime edit mkuu am sorry
 
Nipo kigoma vijijin tafadhar nisaidien jna la ndg huyu ERASTO MUHAGACHI S0465/0103/2010 bandg naomben msaada tcu nasikia wametoa huduma flan ya kuangalia .ahsanten

Utakua umekosea jina.. Halionekani hilo edit
 
Yap,,umechaguliwa bachelor of education with art,,chuo cha JOSIAH KIBIRA UNIVERSITY COLLEGE.pamoja mdada,,kasome,,,usidanganyike,,,
 
nichekie mkuu please s1194/0034/2010 jina. Davis joshua shakizie.nisaidie mkuu

First Name Middle Name Surname Sex Index Number Degree Program Institution Selected
DAVIS JOSHUA SHAKIZIE M S1194/0034/2010 Bachelor of Arts Education (St Marks Centre Dar es Salaam) St. Johns University of Tanzania
 
Ukitaka majibu ya haraka nitumie your form 4 index number, your first name and surname na mwaka uliomaliza
0717501557 nitakusaidia
 
Back
Top Bottom