TCU kesho tarehe 5 watafungua dirisha la pili la udahili wa wanafunzi vyuo vikuu au mpaka tarehe 12?

TCU kesho tarehe 5 watafungua dirisha la pili la udahili wa wanafunzi vyuo vikuu au mpaka tarehe 12?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi!

karibuni ndugu zangu.
 
Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana,nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi!!! karibuni ndugu zangu
Tar 12 mzee baba
 
Hadi majina ya first round yatoke, tarehe 12-18 second round.
 
Hivi kama uliomba chuo ukufanikiwa kuchaguliwa na unataka kuomba tena chuo kile kile unalazimika kulipia tenaa
 
Back
Top Bottom