Mbona Sio official hiyo document yako.
Pia TCU haina kiongozi mwenye cheo cha Vice Chancellor.
Barua yako ina walakini if not fake!!!
Weye umelipa?fedha hizo ni kwaajili ya tume ya uchaguzi...
Naomba nisaidie Maelezo ya kina tafadhali juu ya hii kitu.Hela hiyo ni kwaajili ya QUALITY ASSURANCE UNITY.
Quality Assurance Unity ni organization ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikish kuwa wanafunzi wanapata quality education I mean EDUCATION OF HIGH QUALITY. Organization hizo zipo kila chuo japokuwa yawezekana wanafunzi wengine ndan ya chuo kutojua kabisa issue hiyo, lakuni kila chuo hiyo kitu ipo. Sasa, organization zilizopo chuoni, zinafuatilia taaluma ndani ya chuo LAKINI, LAKINI ., TCU nayo ina kabinet yake ya Quality Assurance Ambayo kazi yake ni kufuatilia na kuhakikisha kwamba wanafunzi wanapata education of high quality KWA, narudia tena KWA , yaani KWA vyuo vyoye TANZANIA. Sasa cabinet hiyo ya TCU itafanyaje kazi?? I mean kufuatilia taaluma kwa vyuo vyote TANZANIA,, . Then ndugu yangu; ndo maana wanachuo wanatoa 20,000 kwa mwaka ili cabinet hiyo iweze kufanya kazi yake. Hope its clear.[huo ni wiz ulio tukuka hivi watu mna dhan 20000 ndogo chuo cha sua peke yake kina wanafunzi karibia 10000 zidisha mara 20000 ujaenda Udom, Udsm na vyuo vingine karibia 50 eti quality assuarence hv inamaana iliserekali iweze hakikisha elimu inatolewa ya ufasaha ni lazima ilipwe kaziii ya serekali nini na shangaa sana wanafunzi wa chuo kikuu Tanzania wao ndio wakua mstari wa mbele kutetea hili lakin nao ni kundi badala ya kuwa kiongoz katika mabadiliko wanakua viongoz wa kwafwata hebu elimu itusaidie kidogo KUNA KUNDI LA WAPUUZI WANAJIITA TAHILISO HAWAJUI MBELE WALA NYUMA WAMEKUA KAMA SOX INAYO TUMIWA NA WANASIASA NA KUTUPWA WASIO JUA WAJIBU WAO HATA CHEMBE KILA CHUO MSHIRIKA KINALIPA 500000 kwa mwaka wanaishia kwenye vikao vikao na wao Hebu katika hili jaribun kufanya hata kama kwa unafki....]
Yeah ni kweli the same as to my university
r.[huo ni wiz ulio tukuka hivi watu mna dhan 20000 ndogo chuo cha sua peke yake kina wanafunzi karibia 10000 zidisha mara 20000 ujaenda Udom, Udsm na vyuo vingine karibia 50 eti quality assuarence hv inamaana iliserekali iweze hakikisha elimu inatolewa ya ufasaha ni lazima ilipwe kaziii ya serekali nini na shangaa sana wanafunzi wa chuo kikuu Tanzania wao ndio wakua mstari wa mbele kutetea hili lakin nao ni kundi badala ya kuwa kiongoz katika mabadiliko wanakua viongoz wa kwafwata hebu elimu itusaidie kidogo KUNA KUNDI LA WAPUUZI WANAJIITA TAHILISO HAWAJUI MBELE WALA NYUMA WAMEKUA KAMA SOX INAYO TUMIWA NA WANASIASA NA KUTUPWA WASIO JUA WAJIBU WAO HATA CHEMBE KILA CHUO MSHIRIKA KINALIPA 500000 kwa mwaka wanaishia kwenye vikao vikao na wao Hebu katika hili jaribun kufanya hata kama kwa unafki....]Quality Assurance Unity ni organization ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikish kuwa wanafunzi wanapata quality education I mean EDUCATION OF HIGH QUALITY. Organization hizo zipo kila chuo japokuwa yawezekana wanafunzi wengine ndan ya chuo kutojua kabisa issue hiyo, lakuni kila chuo hiyo kitu ipo. Sasa, organization zilizopo chuoni, zinafuatilia taaluma ndani ya chuo LAKINI, LAKINI ., TCU nayo ina kabinet yake ya Quality Assurance Ambayo kazi yake ni kufuatilia na kuhakikisha kwamba wanafunzi wanapata education of high quality KWA, narudia tena KWA , yaani KWA vyuo vyoye TANZANIA. Sasa cabinet hiyo ya TCU itafanyaje kazi?? I mean kufuatilia taaluma kwa vyuo vyote TANZANIA,, . Then ndugu yangu; ndo maana wanachuo wanatoa 20,000 kwa mwaka ili cabinet hiyo iweze kufanya kazi yake. Hope its clear.
ndo nini hiyo kitu? ni ya mwanafunzi au ya chuo kulipa na kwa nini ishuke kwa mwanafunzi. ni nani anatakiwa ku assure quality ya chuo ni mwanafunzi au chuo chenyewe
Hii ishu inanichanganya kichwa, TCU kwenye website ya hawajaweka hii kitu, pia njia ya malipo ndo inaniacha njia panda, mfano hapa chuo cha Eckernforde pese hiyo wanasema inapaswa kuingizwa kwenye ac/ ya. Chuo. Sasa ni vp nitathibitisha kuwa fwedha hii imewafikia hao TCU?Wakuu hii ni rasmi tunaanza kulipa ada hii kwa TCU kiasi cha Tsh. 20,000/= kwa mwaka,
Tayari chuo cha MUST imetangazwa rasmi na chuo kikifunguliwa kila mwanafunzi wa Bachelor anatakiwa alipe, hali ikoje vyuo vingine?
Nawasilisha.