Quality Assurance Unity ni organization ambayo kazi yake kubwa ni kuhakikish kuwa wanafunzi wanapata quality education I mean EDUCATION OF HIGH QUALITY. Organization hizo zipo kila chuo japokuwa yawezekana wanafunzi wengine ndan ya chuo kutojua kabisa issue hiyo, lakuni kila chuo hiyo kitu ipo. Sasa, organization zilizopo chuoni, zinafuatilia taaluma ndani ya chuo LAKINI, LAKINI ., TCU nayo ina kabinet yake ya Quality Assurance Ambayo kazi yake ni kufuatilia na kuhakikisha kwamba wanafunzi wanapata education of high quality KWA, narudia tena KWA , yaani KWA vyuo vyoye TANZANIA. Sasa cabinet hiyo ya TCU itafanyaje kazi?? I mean kufuatilia taaluma kwa vyuo vyote TANZANIA,, . Then ndugu yangu; ndo maana wanachuo wanatoa 20,000 kwa mwaka ili cabinet hiyo iweze kufanya kazi yake. Hope its clear.[huo ni wiz ulio tukuka hivi watu mna dhan 20000 ndogo chuo cha sua peke yake kina wanafunzi karibia 10000 zidisha mara 20000 ujaenda Udom, Udsm na vyuo vingine karibia 50 eti quality assuarence hv inamaana iliserekali iweze hakikisha elimu inatolewa ya ufasaha ni lazima ilipwe kaziii ya serekali nini na shangaa sana wanafunzi wa chuo kikuu Tanzania wao ndio wakua mstari wa mbele kutetea hili lakin nao ni kundi badala ya kuwa kiongoz katika mabadiliko wanakua viongoz wa kwafwata hebu elimu itusaidie kidogo KUNA KUNDI LA WAPUUZI WANAJIITA TAHILISO HAWAJUI MBELE WALA NYUMA WAMEKUA KAMA SOX INAYO TUMIWA NA WANASIASA NA KUTUPWA WASIO JUA WAJIBU WAO HATA CHEMBE KILA CHUO MSHIRIKA KINALIPA 500000 kwa mwaka wanaishia kwenye vikao vikao na wao Hebu katika hili jaribun kufanya hata kama kwa unafki....]