TCU kuanza kuchaji Quality Assuarance Fee

TCU kuanza kuchaji Quality Assuarance Fee

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,796
Wakuu hii ni rasmi tunaanza kulipa ada hii kwa TCU kiasi cha Tsh. 20,000/= kwa mwaka,

Tayari chuo cha MUST imetangazwa rasmi na chuo kikifunguliwa kila mwanafunzi wa Bachelor anatakiwa alipe, hali ikoje vyuo vingine?
Nawasilisha.
attachment.php

 
ndo nini hiyo kitu? ni ya mwanafunzi au ya chuo kulipa na kwa nini ishuke kwa mwanafunzi. ni nani anatakiwa ku assure quality ya chuo ni mwanafunzi au chuo chenyewe
 
Kila mwanafunzi anatakiwa kulipa hiyo fee ili TCU iweze kutekeleza majukumu yake,ni kitu cha ajabu lakini ndio iko hivyo.
 
haya mambo mengine bwana - ndo wanafunzi waki riot kisingizio wanatumiwa na CHADEMA!!!
 
Hii hapa
 

Attachments

  • altArtKw9O4rz1ZhvpzeMdVvftQn4l0NzC3owg_zG1yGTsc.jpg
    altArtKw9O4rz1ZhvpzeMdVvftQn4l0NzC3owg_zG1yGTsc.jpg
    80.4 KB · Views: 1,685
Mbona Sio official hiyo document yako.
Pia TCU haina kiongozi mwenye cheo cha Vice Chancellor.
Barua yako ina walakini if not fake!!!
 
Ndugu wanaforum, natumaini title hiyo hapo juu sio ngeni kwa wanafunz wanaoendelea na masomo yao ya elimu juu but kama huna taarifa basi iko hivii... TCU wameamua kuanzisha Quality Assurance Fee ya Tsh 20,000 kwa kila mwanafunz anayesoma chuo kinachotoa degree program bila kujali yupo level gani! Sasa hoja yangu ni kwamba inakuwaje TCU inakuwa inajiendesha kwa jinsi inavyotaka, badala ya kutekeleza majukum yake kiungwana inazidi kuwabebesha wananchi mzigo mzito wa pesa! Ikumbukwe kwamba TCU hao hao ndio walioiona ile 30,000 ya application ni ndogo nakuamua kupandisha mpaka 50,000! Enyi ma-director wa TCU...kwa gharama zipi za uendeshaji zilipanda na kuamua kupandisha hiyo ada? Mbona bodi ya mikopo hawapandishi kihasara ada zao licha ya ukweli kwamba wao ndo wenye jukumu kubwa la kupitia kila form ya muombaji tofaut na nyie ambao tasks nying za application zinakuwa automated kwa system. Na mbaya zaidi katika case hiz za kupanda kwa ada mnakuwa hamtoi apparent reasons kufuatia mabadiliko hayo badala yake mnatoa kama amri huko kambini.
 
This is to inform you that Tanzania Commission for University (TCU) has established Annual Quality Assurance fee (Tshs. 20,000/=) payable by every student pursuing non-degree; Undergraduate and Postgraduate programs in all institutions under the ambit of TCU.
 

Attachments

This is to inform you that Tanzania Commission for University (TCU) has established Annual Quality Assurance fee (Tshs. 20,000/=) payable by every student pursuing non-degree; Undergraduate and Postgraduate programs in all institutions under the ambit of TCU.

ikiskia matatizo, ndo haya!
 
Back
Top Bottom