Tcu kunani jamani?

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
Ni wiki sasa imetimia tangu TCU watangaze kuanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini lakini mpaka sasa hawajapeleka form zao katika benki ya NBC pamoja na matawi yake ili waombaji tuweze kufanya "REGISTRATION"pia "APPLICATION".Naomba sana kama kuna mwana JF mwenye kufahamu suala hili naomba anijuze ni lini zinapelekwa.Hasanteni sana.
 
Subiri kidogo, wanashughulikia, nenda kwenye website yao uache maoni pale.
 
Hasante sana kaka ntafanya hivyo.
 
afu punguza Munkali nadhani registration itafungwa mwezi wa kumi kabisa wale wengine wakitoka JKT
 
TCU wahisheni fom kwenye mabenki vijana wanataka kutafuta vyuo.
 
Zingatia admission guide book 2013-2014 iliyotolewa na TCU bwana Dreson3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…