Ni wiki sasa imetimia tangu TCU watangaze kuanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini lakini mpaka sasa hawajapeleka form zao katika benki ya NBC pamoja na matawi yake ili waombaji tuweze kufanya "REGISTRATION"pia "APPLICATION".Naomba sana kama kuna mwana JF mwenye kufahamu suala hili naomba anijuze ni lini zinapelekwa.Hasanteni sana.