Tcu kutuma majina ya 1st selection yalio salia vyuoni wiki hii!!

Tcu kutuma majina ya 1st selection yalio salia vyuoni wiki hii!!

SANGI B

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
5
Reaction score
2
Tume ya vyuo vikuu Tanzania maarufu TCU,imethibisha kuwepo kwa majina ya 1st selection ambayo hayajafika vyuoni mpaka sasa.
Kwa wale wenzangu ambao wanatatizo kama hili,tumeambiwa tusubir tusiwe na wasiwasi maana hakuna kilicho haribika,majina yatatumwa vyuoni wiki hii.mm nilikwenda mojakwamoja kwenye ofis zao mikochen jana.:A S 465:
 
mwana nashukuru sana kwa info maana roho ilikua juujuu sana mpaka nilitaka kufunga safari mpaka dar toka mwanza break ya kwanza nilikua naanzia tcu
 
Back
Top Bottom