Tcu mambo teyari 4 some universities, pls check your emails

keep on waiting and have faith cause like last year, chuo kimoja kimoja walianza kuwa notify selected applicant wao, kabla ya the general public. Basi for this year kairuki may wamekuwa wa kwanza kutu notify walio tuchagua. Msife moyo kwani bado mapema mtajulishwatu

ok nimekuxoma mkuu.! Ka vp ni forwadie iyo message ili nipate kuamini?
 
Possibly hyo itakua ni tcu ya kichina.

sija login kwenye my tcu account bado cause natumia cmu kwa sasa! Ila nikifanikiwa kupata pc, nitawa-update, msikonde wanajamvi, its all about sharing the info we get
 
oya man! Lengo la mimi kutoa mada hii ni kutaka kuwajuza wenzangu kama mimi tulio apply chuo hicho na pia nipate update kutoka walio apply vyou vingine. And am a matured person bana i have no time to fool around.

ebu mwaga hapa hyo e-mail uliyotumiwa hapa ili watu waprove.
 
nadhan inaweza ikawa kwel sababu kuna rafiki yangu nae kaniambia katumiwa mail kwamba amechaguliwa hiyohiyo kairuki..!
nadhan ni kairuki pekeyake..! Sisi wengine tusubirie..
 
unadhani au ni kwel?? mbona hamueleweki vijana?? nyie ndo wale wale tu!!
 
Mbona mapema sana jamani??? Mtoa mada hebu tudondoshee hiyo E-mail ili tuamnini!! hebu mgojeno namimi nichek na account yangu ya TCU maybe I can find suspicious activities!!
 
nimesema nadhan sabab cjaona hiyo mail yake kwamacho yangu nimeambiwa tu..!
sasa mkuu kama ukiambiwa mke wako amefumaniwa utakuabali kwa sababu umeambiwa?? kama huna fact bora ukae kimya ndugu!!! na usiamin cha kuambiwa mpaka uone kwa macho yako..ni hayo tu ndugu!!!
 
Mbona mapema sana jamani??? Mtoa mada hebu tudondoshee hiyo E-mail ili tuamnini!! hebu mgojeno namimi nichek na account yangu ya TCU maybe I can find suspicious activities!!
mtoa mada kasema hana moderm,sasa cjui anamaanisha nini?? kwenye tcu hakuna kitu na hicho chuo cha kairuk(anavyodai ndo kimetoa) kwenye website yao hawajasema hizo mambo!!!!
 
sasa mkuu kama ukiambiwa mke wako amefumaniwa utakuabali kwa sababu umeambiwa?? kama huna fact bora ukae kimya ndugu!!! na usiamin cha kuambiwa mpaka uone kwa macho yako..ni hayo tu ndugu!!!

mkuu nilichofanya mimi nikuunganisha dots tu..naukizingatia nimepata hii habari katika sources mbili tofauti..!
 
mkuu point yangu ilikua ni...KAMA HUNA FACT USIONGEE!! mana uta mislead watu humu ndani!!!!! si kwa ubaya ni kwa kuweka sawa tu!!!
 
oya masela eeeh isiwe tabu basiiiiiiiii! i was posting this post over my mobile phone, cause modem sikuwa nayo at that moment. ila mail nilioipata ilisomeka hivi

[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 573"]
[TR]
[TD]Paschalis Rugarabamu dvcac@hkmu.ac.tz
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD]Jul 26 (1 day ago)
cleardot.gif

[/TD]
[TD][/TD]
[TD]
cleardot.gif

cleardot.gif

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"][TABLE="width: 712"]
[TR]
[TD]to fatmaseif18, jujume, rena2scus, missdestiny2009, vivekkeshani, raya.s.hamad, mariaagnesmbat., kwetuTz, irenemaseke, dmwindadi, godfreyronald, nassramuhiddyn, kiwaasaid, jumambondey, Chivanga_92, fregina43, allyally0022, njegixjr, t.moxamed, fcelestine40, shabir52, graceomario, lailatf, arafathh93, dr.davanthony
cleardot.gif

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Dear APPLICANT,
1. We have received information from TCU Central Admission System (CAS) regarding your choice to study Doctor of Medicine – MD (HK001) at HKMU 2012/2013.
2. We commend and thank you for the choice to study at our institution.
3. The Senate Admissions Committee met on Wednesday July 25[SUP]th[/SUP], 2012, and discussed your application attributes in line with the minimum requirements to pursue MD at HKMU.
4. We are happy to inform you that you meet the minimum requirements to be admitted to the Doctor of Medicine – MD programme (HK001) for which you have been selected.
5. Please inform us of your acceptance by addressing your reply to The Admissions Officer (admissions@hkmu.ac.tz).
6. We are waiting to hear from you soon.
Yours Sincerely,
Janet Mkale
Admissions Officer
 
sasa masela kama vipi muuulizeni huyo alienitumia maana mijitu mingine humu jamvini ni mibishi kama nini
 
kwa hiyo we umeisha reply?
 
Dah nimeamini si waha tu ndo wabishi hta humu wamo.
 
Oya masela, chekini chekini emails zenu, tcu mambo teyari bwana wamesha anza tuma selection za vyuo! Namshukuru mungu nime-receive mail ya selection yangu. Ila Siyo kwa vyuo vyote, so kwa yeyote aliepata emails toka chuo chochote, ruhusa kutiririka na atujuze ili awapunguzie pressure wengine

Hongera kijana sasa jipange Ukasome....Thanks for informing others,vijana fanyieni kazi ujumbe huu.
 
Back
Top Bottom