copyright
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 584
- 584
Wakuu habari ya majukumu!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani 2024/25 Admission Guidebook lakini mpaka kufikia leo 08/07/2024 (zaidi ya wiki moja) kwenye website yao TCU hamna guidebook kitu ambacho ni sawa na kupingana na taarifa zao wenyewe.
TCU nyie wote hapo ofisini ni wasomi na mnajua msaada ya kutimiza ahadi au kwenda na muda so sisi wenye uhitaji tunaomba mtusaidie kuweka hiyo guidebook kwenye website yenu ili tujue na/au tuchague program ya kusoma na tujue gharama zake ili sisi masikini tuanze kuandaa barua za kuomba misaada ya ada.
Naomba kuwasilisha..