Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
TCU mfumo CAS ulifeli kwa kuwachagulia wanafunzi fani wasizozitaka na vyuo wasivyovitaka.
Yaan mtu anaenda kusoma chuo kikuu fani asiyoitaka wala hakuiomba, na hajui inahusiana na nini.
Chuo kikuu sio sekondari kwamba umpangie mtu chuo na kozi ya kusoma. Hata Ulaya hawafanyi hivyo.
Waacheni Watanzania wachague kozi na vyuo wanavyopenda kusoma kadri wawezavyo.