Kila kitu kina faida na hasara huu mfumo wa kuomba direct chuoni ni kwamaba ukiwa na matokeo konki ya advance basi wewe unaandaa pesa ya kuomba chuo chako kimoja tu kile ambacho unakipenda na kozi ambayo unaipenda na kusubiria tu kuwa selected bt ukiwa na matokeo ya kuungaunga unabidi utumie Pesa nyingi yani uombe chuo zaidi ya viwili ili ukikosa huku basi upate kule na Hapo Hapo zile ndoto za kupata chuo cha ndoto yako zinazid kuwa ndoto.
All in all CAS ilisaidia kupunguza garama za kuomba vyuo vingi vingi na mtu mmoja kupata vyuo vyote alivyoomba