TCU Mkifanya hivi. . . .

TCU Mkifanya hivi. . . .

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Kama wadau wengine walivyo na hamu ya kujua vyuo walivyopangwa mimi shahuku yangu ni matokeo kutolewa kabla ya 15 August kwa maelekezo niliyopewa ni kwamba chuoni 1st year wanatakiwa kuripoti wiki mbili kabla ya wanachuo wengine kufungua. Kama watatoa matokeo mapema hii itatusaidia kufanya maandalizi ya kutosha ingawa binafsi nimeanza taratibu kujiweka sawa.
 
unajiandaa!!, usipochaguliwa utasema chadema wamesababisha usichaguliwe.
 
mkuu hongera kwa kujipanga sawasawa! Hilo la kabla ya August 15 umejulia wapi?
 
Napenda iwe kabla ya 15 August lakini sijui itakua lini.
 
Mwaka jana ifm walikwenda tarehe 5/10,so inaweza ikawa mwezi wa kumi
 
Back
Top Bottom