Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Kama wadau wengine walivyo na hamu ya kujua vyuo walivyopangwa mimi shahuku yangu ni matokeo kutolewa kabla ya 15 August kwa maelekezo niliyopewa ni kwamba chuoni 1st year wanatakiwa kuripoti wiki mbili kabla ya wanachuo wengine kufungua. Kama watatoa matokeo mapema hii itatusaidia kufanya maandalizi ya kutosha ingawa binafsi nimeanza taratibu kujiweka sawa.