HGYTXK
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 194
- 70
Wadau najua hili ni jukwaa la kusaidiana kimawazo na fikra,TCU walipoanzisha huu mfumo walituhakikishia kuwa mawasiliano yote kuhusiana na selection yatafanyika kimtandao na ndio maana walitoa e-mails za ikiwa ni pamoja na namba zao za simu za mezani na mkononi ili kurahisisha mawasiliano.Mie ni mmoja kati ya wenye matatizo nao,profile yangu TCU inaonyesha tayari nimechaguliwa Bsc in Geoinformatics pale Ardhi University ila cha ajabu leo ARU wametoa majina ya waliochaguliwa huku jina langu likikosekana.Najaribu kuwapikgia kwenye namba zao zote hazipatikani na option ya mwisho nimewaandikia e-mail ambayo haina majibu mpaka sasa.Mimi niko Mkoani Mtwara kwa sasa maana ningekuwa Dsm tayari ningekuwa ofisini kwao this time.kwa nini Tanzania tunashindwa kuendana na technology ambayo tayari wenzetu walishaingia tangu miaka ya 80?,hamuoni kama mnatupa tabu sisi watoto wa wakulima huku mikoani.
Ushauri wenu wadau ktk hili kama kuna anayefahamu lolote kuhusu hiki kilichonitokea.Na cha ajabu ktk hayo majina waliyotoa ARU hii kozi imeonyesha ina watu 6 tu wote wakiwa ni wanaume.
Ushauri wenu wadau ktk hili kama kuna anayefahamu lolote kuhusu hiki kilichonitokea.Na cha ajabu ktk hayo majina waliyotoa ARU hii kozi imeonyesha ina watu 6 tu wote wakiwa ni wanaume.