TCU na Chuo wametuzawadia bidhaa feki

TCU na Chuo wametuzawadia bidhaa feki

D 2de A

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
183
Reaction score
32
Wadau naombeni ushauri ktk hili..

Chuo kikuu cha St. joseph university Arusha campus kilifungulia mwaka jana October nakufanikiwa kuchukua wanafunzi zaidi ya 500 wa fani ya ualimu ngazi ya shahada waliopelekwa na TCU

Kwa bahati mbaya sana chuo kilianzishwa bila Prospectus na Curriculum na hadi sasa chuo hakina hivyo vitu.

wanafunzi mwez wa 6 mwaka huu walidai curriculum baada yakugundua wanafundishwa vitu vya india tena mbali na taaluma ya ualimu..uongoz wa chuo uliwaahidi kuwapa baada ya siku chache...kweli baada ya kama wiki moja hivi curriculum ikaletwa wanafunz walipoichunguza wakabaini mapungufu makubwa ikiwemo kukosekana course muhimu za ualimu km vile curriculum development, philosophy in educ. n.k pia ilikuwa imehaririwa curriculum ya engeneering ya st. joseph ya dsm coz kuna sehemu inasema inamwandaa mwanafunz kuwa engineer mzuri wa baadae badala ya mwalimu.

wanafunzi baada yakutokuridhika mwez wa 8 waliwasilisha madai yao kwa chuo, NACTE na TCU lakini madai yao hayakutatuliwa..

wanafunz waliingia kwenye mgomo wa week nzima ulioambatana nakugomea mtihani wa mwisho " end exam au UE"

Chuo kilifungwa kwa muda wa siku 30 then kikafunguliwa lakini waliporudi chuoni hakakuta hakuna kilochobadilika hivyo mgomo ukaendelea hadi leo ni week ya pili tangu waripoti chuoni...

wamejaribu kuwadiliana na waziri wa elimu na katibu mkuu wa TCU ila hakuna majibu yakuwapa vijana hao matumaini wanaoteseka juani kila siku bila hata hela yakujikimu.

MSAADA: Wewe kama mtanzania, kaka, dada wa wale vijana unawashauri wachukue hatua gani za haraka ili kujinasua katika wimbi hilo gumu lakuharibu mustakabali mzima wa maisha yao ya baadae??
 
Wadau naombeni ushauri ktk hili..

Chuo kikuu cha st. joseph university arusha campus kilifungulia mwaka jana october nakufanikiwa kuchukua wanafunzi zaidi ya 500 wa fani ya ualimu ngazi ya shahada waliopelekwa na TCU

Kwa bahati mbaya sana chuo kilianzishwa bila Prospectus na Curriculum na hadi sasa chuo hakina hivyo vitu.

wanafunzi mwez wa 6 mwaka huu walidai curriculumu baada yakugundua wanafundishwa vitu vya india tena mbali na taaluma ya ualimu..uongoz wa chuo uliwaahidi kuwapa baada ya siku chache...kweli baada ya kama wiki moja hivi curriculum ikaletwa wanafunz walipoichunguza wakabaini mapungufu makubwa ikiwemo kukosekana course muhimu za ualimu km vile curriculum development, philosophy in educ. n.k pia ilikuwa imehaririwa curriculum ya engeneering ya st. joseph ya dsm coz kuna sehemu inasema inamwandaa mwanafunz kuwa engineer mzuri wa baadae badala ya mwalimu.

Wadau nasikitika kuwapa pole nyote mliochaguliwa chuo kikuu cha st. joseph kwani hawa wahindi hawajawahi kuajiri maprofessor au madokta pia ni chuo pekee duniani kinachotoa huduma bila prospectus na curriculum..

Wanafunzi first year degree waliojiunga mwska jana 2013 st. joseph campus ya Arusha wako nje ni mwezi wa pili sasa wapo nje ya madarasa yao wakidai curriculum hawajapewa na hata TCU ambao sheria zao haziruhusu chuo kuanzishwa pasipo prospectus na curriculum wamekaa kando kwenye huo mgogoro.

Kuweni makini wadogo zangu ikiwezekana ombeni uhamisho mapema hususani mliopangiwa kusomea ualimu km hamtaki ubabaishaji km wanaopata kaka na dada zenu hadi ninaooongea sahivi muafaka haujapatikana!
 
km seikali na education stakeholders wanaamua kuharibu elimu maksudi basi cjui taifa linaelekea wapi.

wahindi wako money oriented na wako tayri kufinika uovu wao by any cost (rushwa) na taasisi husika mwaka mzma iko kimya sio kwamba hwajui.

mi nashauri endeleni na msimamo huohuo na mjifunze ktu kuasiku mojamkiwa viongozi kueni makini na hela ya wavujajsho
 
Wadau naombeni ushauri ktk hili..

Chuo kikuu cha st. joseph university arusha campus kilifungulia mwaka jana october nakufanikiwa kuchukua wanafunzi zaidi ya 500 wa fani ya ualimu ngazi ya shahada waliopelekwa na TCU

Kwa bahati mbaya sana chuo kilianzishwa bila Prospectus na Curriculum na hadi sasa chuo hakina hivyo vitu.

wanafunzi mwez wa 6 mwaka huu walidai curriculumu baada yakugundua wanafundishwa vitu vya india tena mbali na taaluma ya ualimu..uongoz wa chuo uliwaahidi kuwapa baada ya siku chache...kweli baada ya kama wiki moja hivi curriculum ikaletwa wanafunz walipoichunguza wakabaini mapungufu makubwa ikiwemo kukosekana course muhimu za ualimu km vile curriculum development, philosophy in educ. n.k pia ilikuwa imehaririwa curriculum ya engeneering ya st. joseph ya dsm coz kuna sehemu inasema inamwandaa mwanafunz kuwa engineer mzuri wa baadae badala ya mwalimu.

wanafunzi baada yakutokuridhika mwez wa 8 waliwasilisha madai yao kwa chuo, NACTE na TCU lakini madai yao hayakutatuliwa..

wanafunz waliingia kwenye mgomo wa week nzima ulioambatana nakugomea mtihani wa mwisho " end exam au UE"

Chuo kilifungwa kwa muda wa siku 30 then kikafunguliwa lakini waliporudi chuoni hakakuta hakuna kilochobadilika hivyo mgomo ukaendelea hadi leo ni week ya pili tangu waripoti chuoni...

wamejaribu kuwadiliana na waziri wa elimu na katibu mkuu wa TCU ila hakuna majibu yakuwapa vijana hao matumaini wanaoteseka juani kila siku bila hata hela yakujikimu.

MSAADA: Wewe kama mtanzania, kaka, dada wa wale vijana unawashauri wachukue hatua gani za haraka ili kujinasua katika wimbi hilo gumu lakuharibu mustakabali mzima wa maisha yao ya baadae??

Asante mkuu wa mada nzuri yenye kukusa nyoyo za watanzania walio wengi,lakini kuhusu wanafunzi hao yawapasa kukubaliana na hali HUKU KWA UPANDE MWINGINE IKIWA KAMA FUNDISHO kwa wadogo zao,lakin tuwaombee mwenyezi mungu awaepushe mbali na misukosuko hiyo
 
Wadau naombeni ushauri ktk hili..

Chuo kikuu cha st. joseph university arusha campus kilifungulia mwaka jana october nakufanikiwa kuchukua wanafunzi zaidi ya 500 wa fani ya ualimu ngazi ya shahada waliopelekwa na TCU

Kwa bahati mbaya sana chuo kilianzishwa bila Prospectus na Curriculum na hadi sasa chuo hakina hivyo vitu.

wanafunzi mwez wa 6 mwaka huu walidai curriculumu baada yakugundua wanafundishwa vitu vya india tena mbali na taaluma ya ualimu..uongoz wa chuo uliwaahidi kuwapa baada ya siku chache...kweli baada ya kama wiki moja hivi curriculum ikaletwa wanafunz walipoichunguza wakabaini mapungufu makubwa ikiwemo kukosekana course muhimu za ualimu km vile curriculum development, philosophy in educ. n.k pia ilikuwa imehaririwa curriculum ya engeneering ya st. joseph ya dsm coz kuna sehemu inasema inamwandaa mwanafunz kuwa engineer mzuri wa baadae badala ya mwalimu.

wanafunzi baada yakutokuridhika mwez wa 8 waliwasilisha madai yao kwa chuo, NACTE na TCU lakini madai yao hayakutatuliwa..

wanafunz waliingia kwenye mgomo wa week nzima ulioambatana nakugomea mtihani wa mwisho " end exam au UE"

Chuo kilifungwa kwa muda wa siku 30 then kikafunguliwa lakini waliporudi chuoni hakakuta hakuna kilochobadilika hivyo mgomo ukaendelea hadi leo ni week ya pili tangu waripoti chuoni...

wamejaribu kuwadiliana na waziri wa elimu na katibu mkuu wa TCU ila hakuna majibu yakuwapa vijana hao matumaini wanaoteseka juani kila siku bila hata hela yakujikimu.

MSAADA: Wewe kama mtanzania, kaka, dada wa wale vijana unawashauri wachukue hatua gani za haraka ili kujinasua katika wimbi hilo gumu lakuharibu mustakabali mzima wa maisha yao ya baadae??

Wamepata Fursa ya kusoma wanaichezea leo wanagoma kwa group kesho kila mtu atarudi kwake na begi lake,ukipata elimu itumie vizuri ukichezea itakugharimu sana.Sishauri wagomee wanachofundishwa,badala yake waendelee na masomo huku hilo suala likishighilikiwa na Raisi wao na uongozi wao.Nyakati hizi sio za kucheza na elimu,watagoma wengi siku ya kuondoka wataondoka kila mtu kivyake na maisha niya mtu mmoja mmoja na familia yake siyo maisha ya group.The future will determine their today strike,one day they will r ember we had the chance and we didn't grasp that opportunity.
 
heri yenu ninyi mliowatia moyo hawa wadogo zetu, hata mm naona waendelee kukigomesha tuu
 
Wamepata Fursa ya kusoma wanaichezea leo wanagoma kwa group kesho kila mtu atarudi kwake na begi lake,ukipata elimu itumie vizuri ukichezea itakugharimu sana.Sishauri wagomee wanachofundishwa,badala yake waendelee na masomo huku hilo suala likishighilikiwa na Raisi wao na uongozi wao.Nyakati hizi sio za kucheza na elimu,watagoma wengi siku ya kuondoka wataondoka kila mtu kivyake na maisha niya mtu mmoja mmoja na familia yake siyo maisha ya group.The future will determine their today strike,one day they will r ember we had the chance and we didn't grasp that opportunity.

acha kuongea pumba wewe. unacomment kitu usichokijua. wewe unajuaje kama wanauongozi wa chuo badala uulize kama kuna uongozi wa chuo unakimbilia kuwaambia waache kuungana. wewe ni mse... usiyefikilia ndo maana tanzania hatuendelei kwa sababu ya watu kama wewe FAL.... WEWE. unajiona umeongea kumbe umeharisha kwa mdomo
 
Madai haya siyo ya kubeza

Bro uko vizuri real hapa bongo hakuna chuo ambacho wanafunz wamewahi kudai mtaala mzuri zaid zaidi wanadai boom

binafsie vijana nawapongeza pia nawaombea ushindi
 
Wizara,tcu wamelala fofofo! lakini si wana mbunge wao hapo mh Lema,wamuite na wamtume kwa waziri husika au waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom