Wadau naombeni ushauri ktk hili..
Chuo kikuu cha St. joseph university Arusha campus kilifungulia mwaka jana October nakufanikiwa kuchukua wanafunzi zaidi ya 500 wa fani ya ualimu ngazi ya shahada waliopelekwa na TCU
Kwa bahati mbaya sana chuo kilianzishwa bila Prospectus na Curriculum na hadi sasa chuo hakina hivyo vitu.
wanafunzi mwez wa 6 mwaka huu walidai curriculum baada yakugundua wanafundishwa vitu vya india tena mbali na taaluma ya ualimu..uongoz wa chuo uliwaahidi kuwapa baada ya siku chache...kweli baada ya kama wiki moja hivi curriculum ikaletwa wanafunz walipoichunguza wakabaini mapungufu makubwa ikiwemo kukosekana course muhimu za ualimu km vile curriculum development, philosophy in educ. n.k pia ilikuwa imehaririwa curriculum ya engeneering ya st. joseph ya dsm coz kuna sehemu inasema inamwandaa mwanafunz kuwa engineer mzuri wa baadae badala ya mwalimu.
wanafunzi baada yakutokuridhika mwez wa 8 waliwasilisha madai yao kwa chuo, NACTE na TCU lakini madai yao hayakutatuliwa..
wanafunz waliingia kwenye mgomo wa week nzima ulioambatana nakugomea mtihani wa mwisho " end exam au UE"
Chuo kilifungwa kwa muda wa siku 30 then kikafunguliwa lakini waliporudi chuoni hakakuta hakuna kilochobadilika hivyo mgomo ukaendelea hadi leo ni week ya pili tangu waripoti chuoni...
wamejaribu kuwadiliana na waziri wa elimu na katibu mkuu wa TCU ila hakuna majibu yakuwapa vijana hao matumaini wanaoteseka juani kila siku bila hata hela yakujikimu.
MSAADA: Wewe kama mtanzania, kaka, dada wa wale vijana unawashauri wachukue hatua gani za haraka ili kujinasua katika wimbi hilo gumu lakuharibu mustakabali mzima wa maisha yao ya baadae??