TCU na NACTE kuna uhusiano kweli

TCU na NACTE kuna uhusiano kweli

adeni kyomo

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
34
Reaction score
7
Kwenye profile nimekua selected ifm nacte wananitambua tcu hawalitambui hapo inakuaje msaada kwa anaejua
 
Jitambulishe vizuri tcu watakutambua. Au weka details zako hapa (form four index number and full name) tujarib kuangalia
 
Haruna Mussa,male
S0759/0061/2007
Bacholor degree in logistic and transport management
National institute of transport
 
Naomba ushauri. Nimechaguli iringa university na wanafungua j3 na ataeshindwa kuripoti j3 amejiondoa mwenyewe chuo na mm upande wa pili nimeomba nihamishwe chuo je nifanyaje sababu nkienda kuripoti j3 na ada lazma nlipe, je kuna anaejua majina yatatoka rasmi lin kwa wale tulioomba transfer?
 
nimejaribu wananiambia record not found! eitther not selected or not yet approved by institution@labiyb
 
Jaza jina lako la kwanza tu halafu search kisha tizama jina lako katika list utalikuta
 
Mkuu na mimi naomba uniangalizie coz kwenye profile yangu nipo selected CBE lkn tcu naambiwa kama huyo jamaa hapo juu na nishajaribu kama ulivomwambia lkn haijakubali so naogopa nisijekwenda cbe nikaja kurejeshwa so naomba msaada mkuu
 
Back
Top Bottom