mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
yang hpo poa! Hyo ya kwako 2 ndyo ynye mapbrm
Habari zenu wakuu..
Jina langu lilikua ni miongoni mwa yale majina 8500 yanayotakiwa kufanya second aplication.. Nikafanya hivyo na kila kitu kilikua sawa.. Nikawa naitembelea profile yangu mara kwa mara.. Muda wote profile yangu ilikua sawa na nilijaza MD pale Bugando na YES wakaniwekea..!! Cha ajabu leo nimechek profile yagu pale kwenye Met Min Requirement wameniwekea NO.. Yaan cna vigezo na ile hali deadline imepita jana na jana hyohiyo nilichek profile yangu iko sawa!!
Naomba msaada wenu wakuu wa mawazo au hata mawasiliano ya haraka ya tcu..!!! Mpaka sasa Nimechanganyikiwa Sielew nianzie wap.. Wengine pia nawashauri mpitie profile zenu
Naomba kwa mwenye fununu kuhusu tcu anitoe wasiwasi,ni kweli wiki ijayo wanatoa majibu?
hata me nimeckia hvohvomkuu mm pia nimeongea na marafiki zangu wapo mgambo jkt wamesema ndo kwanza wanaanza kwata j3 tar 12! Bt mwez huu walikuwa kwenye introo! So bdo utataa, kuna mwingine yupo kambi ya kigoma anacema wanamaliza kwata week ijayo! So ngja tuone itakuajee sio unaconclude mja kwa mja mkuu Thema
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui
Y error.....!??????
Hahaha mkuu umemchoma sana huyu jamaa,mkuu mtu mwenyewe unaenda kusoma BAED! then unadharau vyuo vinginee! duuuuuh noumaaa sanaaaa
Hahaha mkuu umemchoma sana huyu jamaa,
Habari ya tetesi: selection za vyuo TCU 2013/2014 zaweza kutangawa hii leo au mapema kesho.
Jaribu kuingia kwenye account zenu za TCU mara kwa mara. Ila sasa hivi kama zimefungwa kwa muda kwaajili ya kujaza informations, perhaps za selection. Hongereni kwa watakao kuwa wamechaguliwa sawasawa na chaguzi zao na pole kwa watakaochaguliwa tofauti na chaguzi zao.