TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

Habari zenu wakuu..
Jina langu lilikua ni miongoni mwa yale majina 8500 yanayotakiwa kufanya second aplication.. Nikafanya hivyo na kila kitu kilikua sawa.. Nikawa naitembelea profile yangu mara kwa mara.. Muda wote profile yangu ilikua sawa na nilijaza MD pale Bugando na YES wakaniwekea..!! Cha ajabu leo nimechek profile yagu pale kwenye Met Min Requirement wameniwekea NO.. Yaan cna vigezo na ile hali deadline imepita jana na jana hyohiyo nilichek profile yangu iko sawa!!
Naomba msaada wenu wakuu wa mawazo au hata mawasiliano ya haraka ya tcu..!!! Mpaka sasa Nimechanganyikiwa Sielew nianzie wap.. Wengine pia nawashauri mpitie profile zenu

pole sana kaka ndo dunia hiyo
 
mkuu mm pia nimeongea na marafiki zangu wapo mgambo jkt wamesema ndo kwanza wanaanza kwata j3 tar 12! Bt mwez huu walikuwa kwenye introo! So bdo utataa, kuna mwingine yupo kambi ya kigoma anacema wanamaliza kwata week ijayo! So ngja tuone itakuajee sio unaconclude mja kwa mja mkuu Thema
hata me nimeckia hvohvo
 
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui
 
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui

mkuu mtu mwenyewe unaenda kusoma BAED! then unadharau vyuo vinginee! duuuuuh noumaaa sanaaaa
 
ndio naenda kupga baed lakn cwez kusoma bba ya cbe hata cku 1! Wanaoenda cbe n 50's
 
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui

mbona ulikuwa unaulizia kuhusu hostel za UDOM acha dharau ww usimcheke mamba kabla ya kuvuka mto! Kwani una div ngapi mpaka ujihakikishie UDSM
 
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui

Wakati mwingine nyamaza kimya ufiche ujinga wako. Kwani haujasoma orodha ya vyuo vilivyo chini ya TCU. Basi tumeshakujua kwamba ni mke wa kigogo hapa mjini!
 
Habari ya tetesi: selection za vyuo TCU 2013/2014 zaweza kutangazwa hii leo au mapema kesho.
Jaribu kuingia kwenye account zenu za TCU mara kwa mara. Ila sasa hivi kama zimefungwa kwa muda kwaajili ya kujaza informations, perhaps za selection. Hongereni kwa watakao kuwa wamechaguliwa sawasawa na chaguzi zao na pole kwa watakaochaguliwa tofauti na chaguzi zao.
 
Habari ya tetesi: selection za vyuo TCU 2013/2014 zaweza kutangawa hii leo au mapema kesho.
Jaribu kuingia kwenye account zenu za TCU mara kwa mara. Ila sasa hivi kama zimefungwa kwa muda kwaajili ya kujaza informations, perhaps za selection. Hongereni kwa watakao kuwa wamechaguliwa sawasawa na chaguzi zao na pole kwa watakaochaguliwa tofauti na chaguzi zao.

asante kwa kutujuza
 
Back
Top Bottom