Mkuu,mbona mimi account yangu tcu naifungua? Then umesema zitafungwa how comes?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
jamaa anatufanya mazuzu na hzo info zake za kuotea kisa kaona CBE wametoa selection
Mkuu post zangu huwa naziakiki, rejea post ya namna hii yenye prefix Tetesi niliyopost mwaka jana na linganisha tarehe ya kutoka kwa selection za TCU mwaka huo na tarehe niliopost hiyo thread halafu unijaji.
Pamoja kiongozi!!!!

mkuu mtu mwenyewe unaenda kusoma BAED! then unadharau vyuo vinginee! duuuuuh noumaaa sanaaaa
Hahahahaaaa.....mwambie kiburi si maungwana
Hahaha mkuu umemchoma sana huyu jamaa,