TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

Mkuu,mbona mimi account yangu tcu naifungua? Then umesema zitafungwa how comes?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nyie wote karibuni udsm nitext 0685 733122 mje mnibebe.
 
jamaa anatufanya mazuzu na hzo info zake za kuotea kisa kaona CBE wametoa selection

Mkuu post zangu huwa naziakiki, rejea post ya namna hii yenye prefix “Tetesi” niliyopost mwaka jana na linganisha tarehe ya kutoka kwa selection za TCU mwaka huo na tarehe niliopost hiyo thread halafu unijaji.
Pamoja kiongozi!!!!
 
Kweli kabisa nimekukumbuka bana Mbute na chai.Of course post zako huwa ni za uhakika.
 
Mkuu post zangu huwa naziakiki, rejea post ya namna hii yenye prefix “Tetesi” niliyopost mwaka jana na linganisha tarehe ya kutoka kwa selection za TCU mwaka huo na tarehe niliopost hiyo thread halafu unijaji.
Pamoja kiongozi!!!!

ok poa tunazisubiri mkuu pamoja
 
Back
Top Bottom