TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

pamoja na taarifa ya kutia matumaini,naomba kuuliza maswali mawili tu,1.selection zinztolewa na TCU au na vyuo husika?manake hapi sijajua selection tunasubiria TCU au kwenye respective college tulizo omba kama walivyofanya CBE.2.application wengine walifanya through TCU na wengine NACTE,je selection zitatolewa NACTE na TCU kwa wakati tofauti au itakuaje?nawasilisha
 
ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!

Mi bado cjakusoma...hebu tafuta connection ya point zako na chama cha kijani
 
tatizo la kimfumo, haiwezekani kila mtu aombe kwa njia ya internet. hivi wanahakika gani kuwa watu wote tunafahamu kutumia computer??? Je hiyo internet iko kila mahali??
 
kote post zinatoka
 
ndio naenda kupga baed lakn cwez kusoma bba ya cbe hata cku 1! Wanaoenda cbe n 50's

Looh! wanangu sijui wakasome wapi!!?? Kwa uwezo mdogo wa kufikiri kama huu hakika watoto wetu watalishwa matango pori.
 
ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!

We ulkua unataka uambiwe nini au uwelewa wako bado haujapanuka...jkt walishasema watatrain wanafunz wote waliomaliza 4m6 had kufikia january zoez ltakua lmekamilka...tcu nao walishatoa taarifa ya mabadiliko ya mihula ya masomo kuanzia mwaka huu vyuo vitapokea wanafunz kuanzia january...sas cjui unahtaj kuambiw na mjumbe wenu ndo uelewe
 
mkuu! tcu wametoa lin huo waraka wa mabadiliko ya mihula ya vyuo
 
ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!

sasa ngoja nikuulize point yako iko wapi sijakusoma bado au ndo unataka kusema tcu ni organ ya ccm? Hebu jipange huna hoja..
 
-------- wewe kwani BA(ed) sio fani nzuri.Wacha dharau kichaa wewe.

acha kukurupuka ch**z... ww! Unajua maada ilipoanziaaa! ucone nimempa sorry Molembe ukadhan me mchoovuuu! Jipange soma thread hiii mwanzo mwishoo then na ww uchangie kama Molembe kama unataka kutetea fan yako!! Muulize oil sumu kwa nn amekashfu vyuo vingine? Kwa hiyo tanzania yote vyuo ni UDSM na MZUMBE!? jipangee we_ge* b ww hyper
 
Last edited by a moderator:
Ameisha omba msamaha.

mkuu Molembe nimekuomba msamahaa kutokana na fact uliyokuja nayo kuwa cjamkashifu yy pekee yake! Na ndo maana nikakuelewaa! Na wewe naomba nikuulize je ni sawa ndugu oil sumu alivyosema kwamba tanzania anasubir vyuo viwil tuu UDSM na MZUMBE ndo anavifahamu hvyo vingine hajui kama ni vyuo! toa maon yako kutokana na kauli kama hiyoo
 
@oilsumu. usidharau chuo wala fani anayosomea mwenzako. sisi tumepitia huko na sasa tupo kazini na watu waliosoma vyuo mbalimbali. UDSM , UDOM, MZUMBE , SUZA, MUM, ST. AUGUSTIN. n.k hakuna tofauti ya utendaji kazi kutokana na ubora wa vyuo wala nini kila mtu anafanya kile kinachotakiwa.
 
Mbaya sana mtu kafaulu vizur alafu akose chuo kwa makosa ya kibinadamu tena ambao mtu hajapata training
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…