TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!

Propaganda imewajaa
 

Mkuu kubali yaishe... Unajua umegusa hisia za watu wa baed... Umegeneralize kana Kwamba wanaosoma baed hawana maana... Mbona ulikuwa muungwana ukaomba msamaha?
 
Last edited by a moderator:
Naona baadhi ya watoa mada wamevamia jukwaa au kwa sababu TCU wanatumia nembo ya kijani ndio uifananishe na CCM,manake wanasiasa hawanaga dogo
 
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui

we ---- kweli! kwanza utakuwa umesoma yeboyebo ww ndo maana akili yako ndogo ka pilitoni,mwalimu gani ww!!! $#@%&+-* zako
 
This morning nimejaribu ku-login kwenye profile yangu several times imekataa ku-respond,so please check out za kwenu wana Jf mnijuze...isijekuwa ni kwangu tu,coz hata niki-click kwenye problem in login ndio kabisa no respond...!?
Ndio tupo hapa kwenye server zetu tunatupia mizigo kwenye account zenu,so soon kila kitu kitaeleweka......
 
Unauhakika na uyasemayo?? wewe ni mgeni jukwaa hili lasivyo usinge sema maneno haya, Mbute na chai ni moja ya watu wanao aminika jukwaa hili

kumbe jamaa anafanyia t.c.u mi nilkuwa cjui.nimeanza kuamini
 
Last edited by a moderator:
ili la mihula hili bado ni kizungu mkuti, CBE wamewatangazia wahitimu wote kwenda kuchukua joining instrution na walipoti mwezi huu,inawezekana ni sababu za kibiasha sijui,walaka wameuweka wapi wa mabadiliko ya mihula?
 
japo kila m2 ataongea lake lakin ukwel ni kwamba siasa inatumika vbaya na wenyemamlaka!
 

Hiyo taarifa ya mabadiliko ya mihula imetoka lini?
 
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie

we should run a clinic fo members like you!..
 

Sawa mkuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…