Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
Tanzania ye2 hyo kdumu chama cha kijan!
Ndicho kilicholeta na kulea umasikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ye2 hyo kdumu chama cha kijan!
sasa wewe hayo yanahusiana nini na aplication au ndo nyie akili zenu zimeathiriwa na siasa
hl ni suala la elim siasa inatoka wap tena mdau
ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!
mkuu Molembe nimekuomba msamahaa kutokana na fact uliyokuja nayo kuwa cjamkashifu yy pekee yake! Na ndo maana nikakuelewaa! Na wewe naomba nikuulize je ni sawa ndugu oil sumu alivyosema kwamba tanzania anasubir vyuo viwil tuu UDSM na MZUMBE ndo anavifahamu hvyo vingine hajui kama ni vyuo! toa maon yako kutokana na kauli kama hiyoo
hayo ya kawaida m nilikuwa sijui kama cbe nacho chuo kikuu! Tunasubir udsm na mzumbe ivyo vngne m cvjui
ndio naenda kupga baed lakn cwez kusoma bba ya cbe hata cku 1! Wanaoenda cbe n 50's
kwa uandishi huo siamini kama kwenye GS ya mwaka huu umepona na second round haupoyang hpo poa! Hyo ya kwako 2 ndyo ynye mapbrm
Ndio tupo hapa kwenye server zetu tunatupia mizigo kwenye account zenu,so soon kila kitu kitaeleweka......This morning nimejaribu ku-login kwenye profile yangu several times imekataa ku-respond,so please check out za kwenu wana Jf mnijuze...isijekuwa ni kwangu tu,coz hata niki-click kwenye problem in login ndio kabisa no respond...!?
Unauhakika na uyasemayo?? wewe ni mgeni jukwaa hili lasivyo usinge sema maneno haya, Mbute na chai ni moja ya watu wanao aminika jukwaa hili
We ulkua unataka uambiwe nini au uwelewa wako bado haujapanuka...jkt walishasema watatrain wanafunz wote waliomaliza 4m6 had kufikia january zoez ltakua lmekamilka...tcu nao walishatoa taarifa ya mabadiliko ya mihula ya masomo kuanzia mwaka huu vyuo vitapokea wanafunz kuanzia january...sas cjui unahtaj kuambiw na mjumbe wenu ndo uelewe
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie
kwa uandishi huo siamini kama kwenye GS ya mwaka huu umepona na second round haupo
sasa wewe hayo yanahusiana nini na aplication au ndo nyie akili zenu zimeathiriwa na siasa
Habari ya tetesi: selection za vyuo TCU 2013/2014 zaweza kutangazwa hii leo au mapema kesho.
Jaribu kuingia kwenye account zenu za TCU mara kwa mara. Ila sasa hivi kama zimefungwa kwa muda kwaajili ya kujaza informations, perhaps za selection. Hongereni kwa watakao kuwa wamechaguliwa sawasawa na chaguzi zao na pole kwa watakaochaguliwa tofauti na chaguzi zao.