TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!
na kweli ndugu mambo hayaeleweki kabisa kama chuo ni january au vipi yani kila mtu anasema lake lakini cha ajabu hawatoi hata tangazo kuondoa utata huu . wengine inatucost sana kutojua chuo ni lini
 
xanks! 2nasubilia kwa hamu
 
ndugu naomba tuendelee kupeana update kuhusu hawa tcu wanatuchanganya kwa kweli. mtu ukisikia chochote utupie humu itll be helpfull
 
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie
ndugu ngoja nikupe jibu la uhakika tcu sasa hivi wakimaliza kuprocess majina ya walio cahaguliwa katika chuo husika wanayatuma kwenye chuo , so ni hiali ua chuo husika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa na tcu kwenye hiko chuo au la... mFANO ukiingia website ya cbe.ac,tz utakuta majina ya selected candidates 2013/2014 by tcu katika cbe
 
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie

mbona yalishatoka? Ila we umekosa, jinsi ulivyoandka title ya thread yako inaonesha % za umbulula wako...
we lazima ukose.
 
ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!

Kweli jf imeingiliwa, mods hawa wanauleta lugha za ki"fb" humu mtuondolee maana wanakera sana.
 
Ndio tupo hapa kwenye server zetu tunatupia mizigo kwenye account zenu,so soon kila kitu kitaeleweka......

Mizigo gani isiyokamilika hiyo aaargh......kumbe nawe unafanya kazi ofisi moja na mbwiga88.....fanyeni yenu wakuu huku ni long wait.
 
kwa leo nilivyo log in kwenye acc yangu naona kama kuna dalili fulan hiv za leo madude kupakuliwa...coz haidisplay kama mwanzo. mim nafikiri wale wote walio apply dis yr get prepared today. mpaka mida flan jion mambo yatakuwa bien!
 
mkuu sembela umeona mabadiliko gan kwenye profile yako
 
Last edited by a moderator:
kwa leo nilivyo log in kwenye acc yangu naona kama kuna dalili fulan hiv za leo madude kupakuliwa...coz haidisplay kama mwanzo. mim nafikiri wale wote walio apply dis yr get prepared today. mpaka mida flan jion mambo yatakuwa bien!

Mabadiliko Gan Maana Profile Ze2 Zipo Kawaida 2. Tujulishe Aise
 
yan niki log in selection haziooonekan..halafu it seems kama wanataka kutupia mambo flan hiv..hebu jaribu kuingia kwenye acc yako then..niambie na wew unaona nin?
 
acha u ngese we mtoto! Sembele
 
Last edited by a moderator:
aaahhh we spleen acha uongo kila sehemu uko wewe tu! kuna siku uliniambia unasoma kairuki, mara unajibu post za afya eti katibu hayupo ,leo uko tcu kwenye server! ka huna kazi ya kufanya nenda fb huku tuko watu na kumbukumbu zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…