frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
ivi application wanatoa lini kwa mwenye tetesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi application wanatoa lini kwa mwenye tetesi
na kweli ndugu mambo hayaeleweki kabisa kama chuo ni january au vipi yani kila mtu anasema lake lakini cha ajabu hawatoi hata tangazo kuondoa utata huu . wengine inatucost sana kutojua chuo ni liniok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!
ndugu ngoja nikupe jibu la uhakika tcu sasa hivi wakimaliza kuprocess majina ya walio cahaguliwa katika chuo husika wanayatuma kwenye chuo , so ni hiali ua chuo husika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa na tcu kwenye hiko chuo au la... mFANO ukiingia website ya cbe.ac,tz utakuta majina ya selected candidates 2013/2014 by tcu katika cbewana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie
wana jf et kuna ukweli wowote kuhusu hili maana me nimepokea taarifa kibao et tcu wametoa post leo wakat nikiangalia kwenye profile yangu hakuna ki2 kama hicho.au nyie wadau ebu angalien na nyie
ok lakin kama co siasa tcu up 2 nw hawaja sema lin watatoa majina ili wa2 wajiandae na hakuna anayejua kma chuo ni january o october coz kila mwenye mamlaka anasema lake eg. Ishu ya Jkt nan amesema kinachoeleweka nauliza!
Ndio tupo hapa kwenye server zetu tunatupia mizigo kwenye account zenu,so soon kila kitu kitaeleweka......
kwa leo nilivyo log in kwenye acc yangu naona kama kuna dalili fulan hiv za leo madude kupakuliwa...coz haidisplay kama mwanzo. mim nafikiri wale wote walio apply dis yr get prepared today. mpaka mida flan jion mambo yatakuwa bien!
Ya kwangu haifunguk kabisa