TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

yan niki log in selection haziooonekan..halafu it seems kama wanataka kutupia mambo flan hiv..hebu jaribu kuingia kwenye acc yako then..niambie na wew unaona nin?

kawaida tu,presha zitakuua mkuu.
 
now it is too much! Why daily the same topic with different titles?
 
jamiiforums imevamiwa siku hizi na ndo hawa wanatujazia kule jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko
 
tafadhalini tulizeni mzuka,post zitatoka tuu jamani,kama una beg liandae mapemaa,
 
Kuchelewa kupata taarifa muhimu kama hizi ndio baadae kila mtu anachelewa kuelewa :help: ukweli ukowapi
 
yan niki log in selection haziooonekan..halafu it seems kama wanataka kutupia mambo flan hiv..hebu jaribu kuingia kwenye acc yako then..niambie na wew unaona nin?

Daaaagh...nimecheka sana....pole sana kwa kiraruraru chako aseee
 
aaahhh we spleen acha uongo kila sehemu uko wewe tu! kuna siku uliniambia unasoma kairuki, mara unajibu post za afya eti katibu hayupo ,leo uko tcu kwenye server! ka huna kazi ya kufanya nenda fb huku tuko watu na kumbukumbu zetu!

Hahahaaaa....ndo maana nimemuuliza anafanya kazi na mbwiga88??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…