yan niki log in selection haziooonekan..halafu it seems kama wanataka kutupia mambo flan hiv..hebu jaribu kuingia kwenye acc yako then..niambie na wew unaona nin?
kawaida tu,presha zitakuua mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yan niki log in selection haziooonekan..halafu it seems kama wanataka kutupia mambo flan hiv..hebu jaribu kuingia kwenye acc yako then..niambie na wew unaona nin?
hadi mda huu zinafunguka vizuri tu labda yako ina matatizo ndugu,tuwe wavumilivu watatoa tu hata kama sio leo .
njia ya mwongo fupi sana mbona hadi sa hizi hamna chochote?! Jipange kaka
mkuu@Erick zeph Stanley uvulimu umekushinda mbona ulimuunga mkono jamaa hapo nyuma
ndiyo mkuu lakini sikuamini 100% Ndo maana nlivoona had sa hv kimya nimemfuata hapa atudanganye tena
ndiyo mkuu lakini sikuamini 100% Ndo maana nlivoona hadi sasa hivi kimya nimemfuata hapa atudanganye tena
yan niki log in selection haziooonekan..halafu it seems kama wanataka kutupia mambo flan hiv..hebu jaribu kuingia kwenye acc yako then..niambie na wew unaona nin?
Acha preshaa....yakitajwa leo unataka kwenda chuo kesho???....kama ipo ipo tu
aaahhh we spleen acha uongo kila sehemu uko wewe tu! kuna siku uliniambia unasoma kairuki, mara unajibu post za afya eti katibu hayupo ,leo uko tcu kwenye server! ka huna kazi ya kufanya nenda fb huku tuko watu na kumbukumbu zetu!
jamiiforums imevamiwa siku hizi na ndo hawa wanatujazia kule jukwaa la siasa na hoja mchanganyiko
tatizo lako umekurupuka ukufahamu hii kitu ilianzaje mpaka nimecoment vile kama ungejua ungefyata dole gumba lako