Christafari
Senior Member
- Jun 2, 2013
- 117
- 13
yale majina ya cbe naona machache sana na si ya wote waliochagua cbe . . Wengine ndo wametemwa au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yale majina ya cbe naona machache sana na si ya wote waliochagua cbe . . Wengine ndo wametemwa au?
yale majina ya cbe naona machache sana na si ya wote waliochagua cbe . . Wengine ndo wametemwa au?
Kwa sababu kila siku vijana wanakuja jambo jipya,likizungumzia ni lini TCU,watafanya mambo,kwa mujibu wa utafiti nilioufanya,tcu,kazi walishamaliza kitambo sana.problem ilikuwa ni kwale tu,ambao majina yao yalitolewa,kuwa wanamatatizo mbalimbali katika kufanya APPLICATION.kama jina alikuwepo kwenye orodha ile,we tulia chuo unacho.
Kwa sababu kila siku vijana (wanakuja jambo jipya,likizungumzia) ni lini TCU,watafanya mambo,kwa mujibu wa utafiti nilioufanya,tcu,kazi walishamaliza kitambo sana.problem ilikuwa ni (kwale) tu,ambao majina yao yalitolewa,kuwa wanamatatizo mbalimbali katika kufanya APPLICATION.kama jina (alikuwepo) kwenye orodha ile,we tulia chuo unacho.
Wanajamvi,ni mengi sana yameongelewa kuhusu tcu...lakini cha msingi tumwombe MUNGU na tuwe na subira zaidi...tumeshasubiri sana so please let us pray guys. MUCH LUV
klchobak 2sbr
Kwa mujibu wa habari za jikoni kabisa tena mnene wa pale tcu selection zinatoka trh 19, mark my word.
Kwa mujibu wa habari za jikoni kabisa tena mnene wa pale tcu selection zinatoka trh 19, mark my word.