TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

yale majina ya cbe naona machache sana na si ya wote waliochagua cbe . . Wengine ndo wametemwa au?
 
yale majina ya cbe naona machache sana na si ya wote waliochagua cbe . . Wengine ndo wametemwa au?

Hao watakuwa ndo waliochaguliwa lakini hilo si ni chaguo moja tu bado kuna machaguo mengine manne ambayo bado kutoka hivyo msife moyo.
 
hayo ni majina kwa tawi la Dar es salaam pekee hivyo matawi mengine ya CBE bado.
 
majina ya cbe n taw la dar ila mataw mengne bado alafu c o wa2 weng walioapply cbe
 
Kwa sababu kila siku vijana wanakuja jambo jipya,likizungumzia ni lini TCU,watafanya mambo,kwa mujibu wa utafiti nilioufanya,tcu,kazi walishamaliza kitambo sana.problem ilikuwa ni kwale tu,ambao majina yao yalitolewa,kuwa wanamatatizo mbalimbali katika kufanya APPLICATION.kama jina alikuwepo kwenye orodha ile,we tulia chuo unacho.
 

Kweli mkuu umenena lakini unajua inatia wasiwasi mno kila siku unasubili jambo na mda unapita halitokei!
Lakini mkuu km ni hizo queries si wangekuwa tayari wamefix maana hao walikuwa ni kidogo tu.
 
Kwa mujibu wa habari za jikoni kabisa tena mnene wa pale tcu selection zinatoka trh 19, mark my word.
 
Wanajamvi,ni mengi sana yameongelewa kuhusu tcu...lakini cha msingi tumwombe MUNGU na tuwe na subira zaidi...tumeshasubiri sana so please let us pray guys. MUCH LUV
 
Yalianza matokeo ya form 4 na 6, wakafuatia watoto wanataka selections zao za kwenda form 5 wakatusumbua san humu jamvini sasa hivi wamebaki watoto wa form 6 nwalipota kuanzia div 3 na wale wa form 4 wanaosubiri afya ndo wanatamba humu, tutakoma,100.
 

mkuu hapo kwenye mabano pote nieleweshe sijapaelewa
 
Omba mungu ukiwa na cut off za ukweli.......otherwise mungu huwa hawasaidii vilaza
 
Wanajamvi,ni mengi sana yameongelewa kuhusu tcu...lakini cha msingi tumwombe MUNGU na tuwe na subira zaidi...tumeshasubiri sana so please let us pray guys. MUCH LUV

kumbe mungu yupo kwenye bodi ya TCU...
 
Tcu walishamaliza kazi. Final approval ni ya vyuo husika. Ni kuendelea kusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…