TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

ingawaje hujawa wazi udsm alisoma nn na german alienda kusoma nn, inawezekana kabisa hakuwa na msingi mzuri wa hicho alichoenda kusomea german.
 
On a serious note; I have never witnessed mwanafunzi wa Mlimani ana good communication skills ondoa tu kuandika lugha ya kujitetea. Kiingereza chao kiko too weak yaani ngumbalu style ila wakiongea kwenye madaladala utadhani kinapanda kumbe, yale yaleeeee!

hivi communication skills,ni kujifunza kiingereza kumbe?
 
hivi communication skills,ni kujifunza kiingereza kumbe?


Siyo kujifunza tu kijana wa UDSM, ushasoma ripoti yeyote ya mwanafunzi wa Mlimani in English? Read, you'll be ashamed. Kama una roho nyepesi utalia kumuonea huruma.
 
Nilichoweza kujifunza, siku hizi Elimu imegeuka kuwa biashara, kila chuo kinajitahidi kuwa na wanafunzi. Kuna mwl mmoja wa SUA, alikuwa anafundisha hesabu Tumaini wakamtimua kisa hatoi A. Tatizo kubwa ni hawa waalimu wa pati taimu, unakuta kozi ya semister nzima, anafundisha wiki 1, then anatoa mtihani wanafunzi wanapata A.
 
ha ha haa! Nimesoma Communication skills na ndio maana hata wewe umeelewa ni neno lenye herufi nne maana ujumbe umeupata! Upo? Shauri yako wewe usoweza kurahisisha mambo maana yake wewe ni kilaza na elimu yako ya chuo gani sijui!

Hapo kwenye rangi nyekundu ndio communication skills mliyosoma Mlimani?Even a standard four pupil writes better than you.It is not the case of understanding,we are talking of an undergraduate who writes lazily like a drug addict.Is that what the 'prestigious' Mlimani stands for?Did you ever learn the use of quotation marks?Stop being lazy and a shamming Mlimani graduates.You can't even reason intelligently,hata kichaa licha ya ukichaa wake bado anaeleweka....acha uzembe,jifunze kuandika maneno yaliyonyooka.Your writing style that you seem to think is cool is only suitable for semi-illiterates.
 
Uuuwiiii TCU, njooni St. Johns Hq Dom, mpitie mafaili ya wanafunzi wanaopewa admission, Ni madudu tupu!!! Mtu f4 tena failure anasoma degree????? watu waliosoma kanumba colleges wapewa admission??? diploma and f6 failures wamejaa tele!!!!! MBA holders wanapewa uu-faculty dean????? TCU wake up ..........!!!!!
 
I can not refute or concur with the claims but what I can tell you is that, it is a human nature everwhere to want to look better than the others. E.G If you go to Zambia they will tell you that the Tanzanian Education is inferior to theirs, like wise if you come to Tanzania they will tell you that the Zambian education is inferior, which ofcourse is not true.

Man is like that but what I can say, is that it is not exactly as they say but it the ephasiss of each institute and how it promtes itself, especially these new higher education institute they need to promote themselves to the business world and the public to eradicate this kind wrong perception .
 
Wana JF,

Nchi yetu inahitaji wazalendo wengi katika sekta ya ELIMU. Wahadhili wengi wanaosababisha GPA kuwa ndogo mara nyingi wanajiona wako sahihi, LAKINI kwa mawazo yangu mimi Lecturer wa namna hii hafai kwa jamii yetu.

Unakuta lecturer anajisifu kwa kufelisha au Kukamata wanafunzi, hii siyo sahihi. Ukitaka kuona ni kwa kiasi gani lecturers hawajui vitu ni kwenye Projects za wanafunzi, mara nyingi hawana msaada wa kimawazo ya kumsaidia mwanafunzi.

Jambo jingine ni kuwa kwa sasa wanafunzi wengi wa postgraduate hawasomi ipasavyo, wengi hawasomi ila wanafanya namna ya kufaulu mitihani. kuna wafanyakazi wenzangu walikuwa wanasoma postgraduate studies UDSM, ukweli ni kuwa
assigments nyingi zinafanywa na watu wengine na wao walikuwa wanakusanya tu. Jambo hili liko vyuo vingi tu.

Ukitaka kuona GRADUATE HALISI au wa ukweli mpime katika utendaji kazi sio cheti au chuo alichosoma.
 
dah.! Mi nashangaa udsm pale law,wanachukua cream of the nation-wanafunzi walopass alama za juu,division 1 point 3 hadi point 6...kila m2 kipanga kweeli! Bt cha ajbu baada ya miaka mi 4,kuisha...GPA chini ya 3.5 ni zakuhesabu...nying znarundkana 3.2 kwenda chini!

Hali ya graduates/graduands Udsm..teh,teh,teh,majority ni mbaya...! Shule ya Udsm..much respeect
 
ndg yng nchi imeoza watoto wao wanasoma nje watoto wa watanzania wanapewa degree za kichna mbona balaa wakat riz one yupo Uk anapiga kitabu sisi 2naunga unga na vyuo vyetu bora liende.

mkuu rizone kasoma uk? una data kamili mkuu au umeamua kuongea tu. tujadili kwa hoja
 
stori hizii za ubora wa udsm dhidi ya vyuo vingine nazifananisha na mwanafunz ambaye kasomea specialschool huku anadiv3
 
Hahaha hii thread inanikumbusha mwalimu wangu pale Pugu nilipokuwa nasoma kidato cha 5-6, tulikuwa tunamuita "nyoka" jamaa aliwahi kusema "Degree ni degree hata kama ni yakukata viuno" hahaha
 
Ubora wa elimu haupimwi kwa GPA, bali unapimwa kwa utendaji wa wahitimu wa chuo husika.
Nani asiyejua kuwa kuna watu wanaopata GPA nzur kwa rushwa ya pesa,ngono au nondo etc.
Ukitaka kuamini hilo mchukue mwana habari mwenye GPA ya kawaida wa SAUT alafu mlinganishe na mwenye GPA kubwa pale UDSM.
 
TCU inasikitisha sana.
mwaka jana wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) cha Moshi waliingia kwenye mgogoro mkubwa na management ya chuo baada ya wanafunzi kugundua baadhi ya degree wanazosoma hazijasajiliwa na TCU na pia mitaala ya degree hizo ni mibovu sana! degree hizo ni Bachelor of arts in public administration and management na bachelor of science in tourism and hospitality management.

wanafunzi wale walikwenda TCU kuwataka watatue tatizo lao lakini TCU haikuwasaidia wakaamua kwenda ofisi ya waziri mkuu pia ofisi ya waziri mkuu haikuwasaidia.
baada ya kukosa msaada sehemu zote, wengi wa wanafunzi waliamua kuacha masomo na pia wakawa wamepoteza na ada zao walizokwishalipa.

huu ni ushahidi wa wazi jinsi TCU inavyosimamia vyuo vyetu vikuu. kwa kweli inasikitisha.
 
SAUT almost zote hazina walimu wenye sifa wanaofundisha na maTA yani waliomaliza degree ata kugraduate bado shame on this to SAUT
bro una uhakika na usemacho au u-me-ku-ru-pu-ka toka usingizin???
 
Kuna jamaa yangu alisoma UDSM LL.B alivyoenda SAUT kusoma LL.M alijiona kama kilaza.
 
watu wakishatoswa kwenye selection za chuo utawajua tu! ndo kama hivi... maneno meengi, ubora ubora! jiangalie kwanza wewe mwenyewe je na wewe ni bora?
 
Nilichoweza kujifunza, siku hizi Elimu imegeuka kuwa biashara, kila chuo kinajitahidi kuwa na wanafunzi. Kuna mwl mmoja wa SUA, alikuwa anafundisha hesabu Tumaini wakamtimua kisa hatoi A. Tatizo kubwa ni hawa waalimu wa pati taimu, unakuta kozi ya semister nzima, anafundisha wiki 1, then anatoa mtihani wanafunzi wanapata A.

nazan hyo atakuwa sembuche
 
Back
Top Bottom