malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,319
- 520
On a serious note; I have never witnessed mwanafunzi wa Mlimani ana good communication skills ondoa tu kuandika lugha ya kujitetea. Kiingereza chao kiko too weak yaani ngumbalu style ila wakiongea kwenye madaladala utadhani kinapanda kumbe, yale yaleeeee!
hivi communication skills,ni kujifunza kiingereza kumbe?
hivi communication skills,ni kujifunza kiingereza kumbe?
ha ha haa! Nimesoma Communication skills na ndio maana hata wewe umeelewa ni neno lenye herufi nne maana ujumbe umeupata! Upo? Shauri yako wewe usoweza kurahisisha mambo maana yake wewe ni kilaza na elimu yako ya chuo gani sijui!
ndg yng nchi imeoza watoto wao wanasoma nje watoto wa watanzania wanapewa degree za kichna mbona balaa wakat riz one yupo Uk anapiga kitabu sisi 2naunga unga na vyuo vyetu bora liende.
bro una uhakika na usemacho au u-me-ku-ru-pu-ka toka usingizin???SAUT almost zote hazina walimu wenye sifa wanaofundisha na maTA yani waliomaliza degree ata kugraduate bado shame on this to SAUT
kazi ipo!!kuna jamaa yangu alisoma udsm ll.b alivyoenda saut kusoma ll.m alijiona kama kilaza.
Nilichoweza kujifunza, siku hizi Elimu imegeuka kuwa biashara, kila chuo kinajitahidi kuwa na wanafunzi. Kuna mwl mmoja wa SUA, alikuwa anafundisha hesabu Tumaini wakamtimua kisa hatoi A. Tatizo kubwa ni hawa waalimu wa pati taimu, unakuta kozi ya semister nzima, anafundisha wiki 1, then anatoa mtihani wanafunzi wanapata A.