TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania


Mkuu umenena vyema kabisa wimbi hili la vijana wa kidato cha sita wanaoanzisha thread nyinginyingi zisizokuwa na source za taarifa zao na nyingi zikiwa ni za uzushi au habari za kusikia tu zinashusha hadhi ya jamiiforums...tafadhali sana kaka na wadogo zangu tunaotumia jukwaa la elimu na majukwaa mengine humu jf ninaomba tuwe na weledi katika vitu tunavyoviposti humu ndani mabishano na matusi hayajengi..na si vizuri kubishana katika jukwaa kwa jambo lisilokuwa na msingi ni bora ukae kimya tu kama wahenga walivosema "funika kombe mwanaharamu apite" nawasilisha
 
huyo aliye kupa hizo news ndiyo akuambie yy amepata wap habari hizo. sasa unapotuuliza sisi such a question...tunashindwa kutolea maelezo, so nakushauri next time ujipange kwanza ndyo uuulize wana Jf.
 
Matokeo yangu yako hivi... Bios D, Phys E, Chem D na S ya G.S na Bam.. Vigezo vilivyotolewa kwa chuo hiki ninavyo wakuu
 
ni matatizo ya mtandao tu, hali itakuwa vizuri baadae na hope appln yako itakuwa imepokelewa. hata kama utakosa kupitia tcu, bado watatoa nafasi ya watu kuomba moja kwa maoja vyuoni. Be patient!!!!
 

Ingia 'View my selection status' angalia 'selection status' ukikuta 'processed' umeshachaguliwa, mengine ni technical problem
 

hiyo ni Cutt off point ya 5 na hicho chuo wameshusha cut off point kutoka 7 mpaka 5 so upo illegible, lakini fatilia..
 
wanavyoandika wenyewe wanataka C ya chem (compasary) C ya bios na atleast F ya phy! sio mimi ni wao nenda kwenye ile no kaweke kile ki caser then utaona vigezo wanavyotaka!
 

Usiwaze mkuu utapata chuo hiyo ni net prblm
 
First class sio issue ila sokoni wakoje wanafanya vema? GPA nzuri ni juhudi za mtu binafsi sio kubebwa mzee. wanafunzi wa Tumaini kwa darasa ni wachache na walimu wanafundisha mwanafunzi kuelewa sio kama vyuo vingine. hiki ni chuo cha pekee sana mzee
 
First class sio issue ila sokoni wakoje wanafanya vema? GPA nzuri ni juhudi za mtu binafsi sio kubebwa mzee. wanafunzi wa Tumaini kwa darasa ni wachache na walimu wanafundisha mwanafunzi kuelewa sio kama vyuo vingine. hiki ni chuo cha pekee sana mzee

huyu nae ataongea pumbagani tena
 
Naomba kwa mwenye fununu kuhusu tcu anitoe wasiwasi,ni kweli wiki ijayo wanatoa majibu?
 
Usiwe na wasisi, mda sahihi utafika wa majina kutoka na kuainisha ni chuo gani utakua umepangiwa.
 
usiwaze mkuu,2lia mana bado awamu ya tatu hawajaenda JWTZ
 
Join Date : 3rd August 2013
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
KARIBU J.F...
 
usiwaze mkuu,2lia mana bado awamu ya tatu hawajaenda JWTZ

Ndugu,hakuna awamu nyingine ya jkt kwa f6 leaver kwani hata walioko huko watahitimu mwishoni mwa mwezi huu ili wakajiandae na chuo na wengine wakajiunge diploma.Source;Wakuu wa kambi mbali mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…