mkuu 2subiri kama jeshi nalo linaongea siasa!Ndugu,hakuna awamu nyingine ya jkt kwa f6 leaver kwani hata walioko huko watahitimu mwishoni mwa mwezi huu ili wakajiandae na chuo na wengine wakajiunge diploma.Source;Wakuu wa kambi mbali mbali.
Keep in mind walimu wengine wanapiga part time kwenye vyuo hivyo wakitokea vyuo vyenu vyenye GPA ndogo..kama mnavyo taka kusema....uko kwenu wanatoa ndoog uku wanatoa kubwa...
Huu ukiritimba wa mwanafunzi anasoma ... analipa ada yake vizuri ila wewe kwa kuwa ni mwalimu na ada pamoja na maisha yake ya baadae hayana impact una mdaka au basi tu kumuonyesha wewe ni lecture mkali au kujenga jina..
mzaha uo kwenye privete institute hawauchelei....unalipwa fundisha..wanafunzi waelewe ndio maana wanapata hizo GPA.
Ndugu,hakuna awamu nyingine ya jkt kwa f6 leaver kwani hata walioko huko watahitimu mwishoni mwa mwezi huu ili wakajiandae na chuo na wengine wakajiunge diploma.Source;Wakuu wa kambi mbali mbali.
Uuuwiiii TCU, njooni St. Johns Hq Dom, mpitie mafaili ya wanafunzi wanaopewa admission, Ni madudu tupu!!! Mtu f4 tena failure anasoma degree????? watu waliosoma kanumba colleges wapewa admission??? diploma and f6 failures wamejaa tele!!!!! MBA holders wanapewa uu-faculty dean????? TCU wake up ..........!!!!!
mkuu mm pia nimeongea na marafiki zangu wapo mgambo jkt wamesema ndo kwanza wanaanza kwata j3 tar 12! Bt mwez huu walikuwa kwenye introo! So bdo utataa, kuna mwingine yupo kambi ya kigoma anacema wanamaliza kwata week ijayo! So ngja tuone itakuajee sio unaconclude mja kwa mja mkuu Thema
Kweny hyo lst yako toa Mzumbe kabisa
Join Date : 3rd August 2013KARIBU J.F...
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Naomba kwa mwenye fununu kuhusu tcu anitoe wasiwasi,ni kweli wiki ijayo wanatoa majibu?
Wadau niko mbioni kwenda kusoma Tumaini kwa habar hizi inamaana hata hiki nilichonacho hakitakuwa na msaada, duuuu
hilo lina ukweli wowote ndugu wadau?