TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

CBE wameshatoa majina ya waliochaguliwa katika chuo chao
 
Acheni kuzingua watu ukifika chuo we soma upate GPA kubwa huo ndio ujanja haijalishi unasoma wapi. UDsM ndo wahanga wa GPA ndogo
 
tumain ndo utumbo kabsa...mdogo angu ana 4 ya 26 ameingia diploma ya business Admnstration....tumain elim yao mbovu yan nimewadharau aisee
 

Anasoma UDOM
 
sasa TCU kuna watu pale?. Director wa Accredition & Quality Assurance Dr S. Maronga alinifundisha na alikuwa head of department yangu pale UDSM. Hamna kitu kichwan kabisa. waulize waliomaliza mining & MONERAL process kati ya 2000 na 2010 watakwambia.

Kweli hamna kitu mpaka akakumezesha hiyo bold kwenye post yako
 
tumain ndo utumbo kabsa...mdogo angu ana 4 ya 26 ameingia diploma ya business Admnstration....tumain elim yao mbovu yan nimewadharau aisee

mbona hyo course karibu vyuo vyote unaingia kwa pass marks yake hyo tena wengne wanataka D nne tu na UCC ktengo chenu ndo wanazitaka D 2 TU yaan ukiwa na 4 ya 33 unapat admission
 
This morning nimejaribu ku-login kwenye profile yangu several times imekataa ku-respond,so please check out za kwenu wana Jf mnijuze...isijekuwa ni kwangu tu,coz hata niki-click kwenye problem in login ndio kabisa no respond...!?
 
sasa we mleta mada mbona unajiaibisha hivi, aibu ni aibu ata kama tunatumia id fake,badilika ndugu ,nafasi ya kubadilika bado unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…