Deusbaraka
Member
- Jul 15, 2013
- 19
- 0
Asante kwa taarifa njema! ila mpaka sasa bado account zinafunguka. anyway ngoja tusikilizie kaka.:smile-big:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa anatufanya mazuzu na hzo info zake za kuotea kisa kaona CBE wametoa selection
Unauhakika na uyasemayo?? wewe ni mgeni jukwaa hili lasivyo usinge sema maneno haya, Mbute na chai ni moja ya watu wanao aminika jukwaa hili
Tanzania ye2 hyo kdumu chama cha kijan!
mkuu mtu mwenyewe unaenda kusoma BAED! then unadharau vyuo vinginee! duuuuuh noumaaa sanaaaa
sasa wewe hayo yanahusiana nini na aplication au ndo nyie akili zenu zimeathiriwa na siasa
jipange Molembe! Mtu akidharau na yeye anadharauriwaaaa! So overrrr
hl ni suala la elim siasa inatoka wap tena mdau
mkuu Molembe sorry!!!