Tcu na vyeti vya vyuo vya russia

Bebrn

Senior Member
Joined
Mar 20, 2008
Posts
103
Reaction score
24
Jamani naombeni mnisaidie maana nina mwezi wa tatu sasa nafuatilia translation ya cheti change tcu bila mafanikio na bila taarifa inayoeleweka, naombeni mwongozo ni wapi naweza kusaidia badala ya tcu, au ni nani au wizara gani ambayo inaweza kunipa mwongozo, namna hii wanakatisha sana tamaa !!!
 
ukiona hivo jua bado hawajajiridhisha, mie walichkua ndani ya wiki moja tu nikapata cheti changu
 
Nyoosha maelezo usaidiwe au umeenda russia umerudi umesahau jinsi ya kuandika insha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…