Bebrn
Senior Member
- Mar 20, 2008
- 103
- 24
Jamani naombeni mnisaidie maana nina mwezi wa tatu sasa nafuatilia translation ya cheti change tcu bila mafanikio na bila taarifa inayoeleweka, naombeni mwongozo ni wapi naweza kusaidia badala ya tcu, au ni nani au wizara gani ambayo inaweza kunipa mwongozo, namna hii wanakatisha sana tamaa !!!