Tcu nimeshindwa kuwaelewa

Tcu nimeshindwa kuwaelewa

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
kwenye profile yangu pale kwenye selection status wameandika NOT YET PROCESED halafu kule kwenye SELECTED PROGRAM wamenibakishia kozi moja kutoka chuo kimoja ambayo ilikuwa first choice,hii ina maana gan wakuu.msaada plz kabla ya deadline!.
 
mkuu hii mbona mpyaa sasa! Vp kwenye majina ya waliokosa chuo hukuwepoo?
 
kwenye majina ya waliokosa vyuo sipo kamugisha.
 
kwenye majina ya waliokosa vyuo sipo kamugisha.

mkuu inawezekana ukawa ndo umechagulwa hyoo! Ngja namm nichek coz ckuwepo kwenye waliokosa, also kwenye selection status nilikuwa nimewekewa not yet in proccesed! Bt kwenye selected programe nilikuwa cjacheki
 
mkuu kamugisha uje na feedback
 
Hta mm ilikua hvo lakn nlivo refresh zikaonekana zote nlizoomba!heb jarib tena
 
Back
Top Bottom