Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.
Kwani tatizo lipo wapi? Mbona muda wa kufungua vyuo bado sana kwa nn muwe na haraka na hizo selection. au mnadhani chuo kikuu ni kama sekondari mtakuta wa vyuo vingine wamekata topic kadhaa, na mtafanya mtihani wa Taifa ambao utakua ni mmoja kwa vyuo vyote Tanzania nzima? Waacheni TCU wafanye kazi kwa umakini msiwape pressure ya kutoa selection mapema then wakakosea. mie ningeshauri watoe selection mwezi wa 9 wiki ya kwanza
Source kwanza! Usituletee habari umeisikia kwa makonda wa mabasi msamvu afu unaleta jamvini..
mkuu,kuhusu selection me cna tabu nalo coz naelewa selection zmefanyika cku nying 2,ila huyu jamaa anae jiita elank54 kazingua kwa kutuwekea vitu hewa.
mkuu,kuhusu selection me cna tabu nalo coz naelewa selection zmefanyika cku nying 2,ila huyu jamaa anae jiita elank54 kazingua kwa kutuwekea vitu hewa.
???? Fungua web ya tcu mkuu cheki news pale kuna link mpya ...kama kwako haipo , kwangu ipo clear.. Btw kama unaona nazingua ntafte nikuoneshe mkuu
Unajua maana ya tetesi? Kukishakuwa na source si tetesi tena. Inaonekana wewe si great thinker. Au ndio wale wenye point za kuheng' waja jaza jamvi na mipresha yako hapa. Ebu kaone!
we ipaste hapa kila mtu aione.
Mkuu visit tcu.go.tz, ikfunguka kuna news mpya ya LOGIN FOR HIGHER INSTITUTIONS ..Ukiclick io, endelea please click here utapata sehem ya kueka index no na passwd yako... Then left topside ikishafunguka kuna selectd students , clik tena apo itatokea chat ila HAIKO FILLED wit information na ndio maana at first nikasema inaonekana kitu soon
hamna jipya ni kama jana na juz!!!Login kwenye cas acount yako mkuu.
watoe selection mwez wa 9 na wkt chuo kama udsm 1st yr wanafungua tar 17/sept,maandaliz yatafanyika lini?
Mkuu visit tcu.go.tz, ikfunguka kuna news mpya ya LOGIN FOR HIGHER INSTITUTIONS ..Ukiclick io, endelea please click here utapata sehem ya kueka index no na passwd yako... Then left topside ikishafunguka kuna selectd students , clik tena apo itatokea chat ila HAIKO FILLED wit information na ndio maana at first nikasema inaonekana kitu soon
Yani hizi topics za tcu siku hizi imekuwa ka fashion jukwaa hili kila mtu anatupia yake. Hebu na mie nitupie yangu ya kutafutia umaarufu.
hlo ndo jibu sahih ambalo hata mm nilijibiwa,in addition wanawasubir HESLB ambao wapo kazin tangu tareh 15 july,watarelease pamojaMkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.
Mkuu nakuunga mkono coz hata SAUT wanafungua mwezi wa 9 tar 26.