TCU selection hizo!

TCU selection hizo!

Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.

mkuu,kuhusu selection me cna tabu nalo coz naelewa selection zmefanyika cku nying 2,ila huyu jamaa anae jiita elank54 kazingua kwa kutuwekea vitu hewa.
 
Kwani tatizo lipo wapi? Mbona muda wa kufungua vyuo bado sana kwa nn muwe na haraka na hizo selection. au mnadhani chuo kikuu ni kama sekondari mtakuta wa vyuo vingine wamekata topic kadhaa, na mtafanya mtihani wa Taifa ambao utakua ni mmoja kwa vyuo vyote Tanzania nzima? Waacheni TCU wafanye kazi kwa umakini msiwape pressure ya kutoa selection mapema then wakakosea. mie ningeshauri watoe selection mwezi wa 9 wiki ya kwanza

watoe selection mwez wa 9 na wkt chuo kama udsm 1st yr wanafungua tar 17/sept,maandaliz yatafanyika lini?
 
mkuu,kuhusu selection me cna tabu nalo coz naelewa selection zmefanyika cku nying 2,ila huyu jamaa anae jiita elank54 kazingua kwa kutuwekea vitu hewa.

Wengine humu jf waliingia kimakosa.
 
mkuu,kuhusu selection me cna tabu nalo coz naelewa selection zmefanyika cku nying 2,ila huyu jamaa anae jiita elank54 kazingua kwa kutuwekea vitu hewa.

???? Fungua web ya tcu mkuu cheki news pale kuna link mpya ...kama kwako haipo , kwangu ipo clear.. Btw kama unaona nazingua ntafte nikuoneshe mkuu
 
we ipaste hapa kila mtu aione.
 
Unajua maana ya tetesi? Kukishakuwa na source si tetesi tena. Inaonekana wewe si great thinker. Au ndio wale wenye point za kuheng' waja jaza jamvi na mipresha yako hapa. Ebu kaone!

unajua maana ya tetesi..!? Ni habari zisozo rasmi zinaweza kuwa kweli au si kweli kwa kuwa nimepitia thread yako nimegundua kuwa wewe ni kilaza tena kiaziii kabisa xo kwa huu uzi wako ulio utoa ni moja kwa moja umeuto kwa walevi wenzako
 
we ipaste hapa kila mtu aione.

Mkuu visit tcu.go.tz, ikfunguka kuna news mpya ya LOGIN FOR HIGHER INSTITUTIONS ..Ukiclick io, endelea please click here utapata sehem ya kueka index no na passwd yako... Then left topside ikishafunguka kuna selectd students , clik tena apo itatokea chat ila HAIKO FILLED wit information na ndio maana at first nikasema inaonekana kitu soon
 
Hapo Tumeelewana, hata MiMi naionaga hiyo link ila nikiifata siambulii kitu nakuta feld zote ziko empt.
 
watoe selection mwez wa 9 na wkt chuo kama udsm 1st yr wanafungua tar 17/sept,maandaliz yatafanyika lini?

Mkuu nakuunga mkono coz hata SAUT wanafungua mwezi wa 9 tar 26.
 
Mkuu visit tcu.go.tz, ikfunguka kuna news mpya ya LOGIN FOR HIGHER INSTITUTIONS ..Ukiclick io, endelea please click here utapata sehem ya kueka index no na passwd yako... Then left topside ikishafunguka kuna selectd students , clik tena apo itatokea chat ila HAIKO FILLED wit information na ndio maana at first nikasema inaonekana kitu soon

lakini hii kitu ilikuwa hapo kitambo tu,ila nikijaribu kulogn haifunguki. Nadhani hii ni kwa vyuo tu.
 
Yani hizi topics za tcu siku hizi imekuwa ka fashion jukwaa hili kila mtu anatupia yake. Hebu na mie nitupie yangu ya kutafutia umaarufu.
 
itabidi MODEs wazi combine iwe moja, maana zina kera kwa kweli.
 
Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.
hlo ndo jibu sahih ambalo hata mm nilijibiwa,in addition wanawasubir HESLB ambao wapo kazin tangu tareh 15 july,watarelease pamoja
 
Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.

sasa siwatangaze wanasubiria nini!
 
sellection tayari imesha fanyika,majina ya walio kuia sellected yameplekwa bodi ya mkopo,then soon yatatangazwa
 
Back
Top Bottom