Jamani naomba kuelezea kidogo jinsi mchakato wa selection inavyo fanyika.
Kwanza kila mwanafunzi alie eligible kwenye kozi aliyo omba atawekwa katika mchakato wa kuchaguliwa Mfano alivyo uliza perry hapo juu ni kua all 160 applicants wataingizwa kwenye mchakato wa kuchaguliwa,The best 50 watakao chaguliwa watakaa pembeni, then mchakato ukiisha kwa kila kozi sasa wanaangalia kwenye kozi ulizo omba je kwenye 1st choice umo? kama ni ndio zile 7 zilizo baki zinakua canceled, mfano kama umekua selected in all 8 programs, 7 zikiwa canceled kutakua na gape yaani mfanp kulikua na watu 50 watabaki 49 then best of all kati ya wale 110(160 eligible toa 50 selected) walio baki ataingizwa then mchakato utaendelea mpaka all eligible applicants waishe.
Mfano Kuna mtu ana I.9 alichagua 1st LAW UDSM bahati mbaya hiyo kozi walio weka 1st choice walikua 60 na kati ya hao 60 55 wako kati ya I.3 hadi I.8 so wakichukuliwa best 50 mwenye I.9 ataachwa na kuja kushindanishwa katika 2nd choice ambayo let's say wenye I wako wachache na yeye ni the best of all sasa hapo atakua wa kwanza kuchaguliwa HII itaenda hivyo hivyo mpaka choise ya 8 iktokea kote umetoka knockout ndo umekosa chuo hivyo.....
IKUMBUKWE KUA PROCESS YOTE HII INAFANYWA NA COMPUTERIZED SYSTEM CHINI YA UANGAIZI WA WAHADHIRI WA CHUO HUSIKA
KAMA UNASWALI ULIZA.