Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
- Thread starter
-
- #101
kwa kozi za biashara vipi?
Wat abt DIT, n ardhi?
Sasa mkuu mbute na chai,hayo majina ya ambao hawajachaguliwa na wanatakiwa kuaply tena,yatatoka lini!
The aim of tcu was to select all eligible applicants to avoid second round of application. In so doing, tcu is scrupulously detailing all applicants' information. If there are applicants left, few of them will be dimmed eligible for lodging in applications again. Truely they will be few when all selected and unselected applicants' names are published perhaps early next week.
mkuu mbute na chai,let say kozi flani ilikua inahitaji watu 50,walio apply walikua 200,waliokua eligible walikua 160,walio iweka hyo koz kama 1st choice walikua 58,sasa hapo hao 58 si ndo watashndanishwa ili kuwachuja wabaki hamsini au watashndanishwa na wale wote walio andikiwa eligible no matter waliiweka kama 1st or last choice?
kwa hyo hapo watu wenye three wengi watapigwa chini?
kwa hyo hapo watu wenye three wengi watapigwa chini?
mkuu unahuakika???LORDVILE anaongoza kwa uongo hapa jamiif,kazi kutia watu presha ilhali unajua ukisemacho si sahihi
utachaguaje facult mkuu?? au ulimaanisha caurse!!!Vp kama watu wenye 1 na 2 ni wachache walio chagua facult moja wengi wakawa mwenyewe tatu hawa taachwa au walishaachwa?
Dah Mbute na chai you rock bro!
utachaguaje facult mkuu?? au ulimaanisha caurse!!!Vp kama watu wenye 1 na 2 ni wachache walio chagua facult moja wengi wakawa mwenyewe tatu hawa taachwa au walishaachwa?
swali la msingi hilo!
Vp kama watu wenye 1 na 2 ni wachache walio chagua facult moja wengi wakawa mwenyewe tatu hawa taachwa au walishaachwa?
Jamani naomba kuelezea kidogo jinsi mchakato wa selection inavyo fanyika.
Kwanza kila mwanafunzi alie eligible kwenye kozi aliyo omba atawekwa katika mchakato wa kuchaguliwa Mfano alivyo uliza perry hapo juu ni kua all 160 applicants wataingizwa kwenye mchakato wa kuchaguliwa,The best 50 watakao chaguliwa watakaa pembeni, then mchakato ukiisha kwa kila kozi sasa wanaangalia kwenye kozi ulizo omba je kwenye 1st choice umo? kama ni ndio zile 7 zilizo baki zinakua canceled, mfano kama umekua selected in all 8 programs, 7 zikiwa canceled kutakua na gape yaani mfanp kulikua na watu 50 watabaki 49 then best of all kati ya wale 110(160 eligible toa 50 selected) walio baki ataingizwa then mchakato utaendelea mpaka all eligible applicants waishe.
Mfano Kuna mtu ana I.9 alichagua 1st LAW UDSM bahati mbaya hiyo kozi walio weka 1st choice walikua 60 na kati ya hao 60 55 wako kati ya I.3 hadi I.8 so wakichukuliwa best 50 mwenye I.9 ataachwa na kuja kushindanishwa katika 2nd choice ambayo let's say wenye I wako wachache na yeye ni the best of all sasa hapo atakua wa kwanza kuchaguliwa HII itaenda hivyo hivyo mpaka choise ya 8 iktokea kote umetoka knockout ndo umekosa chuo hivyo.....
IKUMBUKWE KUA PROCESS YOTE HII INAFANYWA NA COMPUTERIZED SYSTEM CHINI YA UANGAIZI WA WAHADHIRI WA CHUO HUSIKA
KAMA UNASWALI ULIZA.
ebu pitia maelezo ya mbute na chai hapo chin mkuu,me naona kama yeye ndio yuko sahihi.
Jilipie chuo acha dezo.