Mambo yote kesho jaman.... The end!!!
Source ...HESLB HQ!!!! No more qns plz ..the end
asa heslb ndio wanaotangaza au tcu mkuu?acha kurusha watu roho bana.
Source ...HESLB HQ!!!! No more qns plz ..the end
Cku ya post ndo cku ya boooooooooooooom, im out tutaonana wakuu kesho ....im out
kama huipend,uliichagua ya nin?
kijana hapo kwenye red umenifurahisha sana inaonekana unawasiwasi hauta chaguliwa nini..?
Hi, expectants. If you are failing to access tcu website, please be patient, keep on browsing it regularly.
I didn't get you well, but there are some informations being uploaded, not pretty sure if it's selection publication though it's one of the informations.
i can't acces to tcu website what is the problem?
Poleni sana watu wa diploma zisizo NTA level six.
Kusema kwel me inaniuma saana kuona watu wanakuja hapa alafu wanaleta habari ambazo sijui wamezisikia wap kuhusu haya maselection.
Yan kama wangejua jinsi wanavowaweka watu roho juu especialy sisi tulioaply mwaka huu wasingekua wanafanya ivo kabisa..
Grow up guyz na mlete hapa habar mkiwa na uhakika na mlete na visibitisho basi coz thats hw great thinkez do..
NB:Mods plz do somethn abt thos pple
kwa nin mkuu?