TCU selection hizo!

TCU selection hizo!

Nimejaribu ku login lkn haifunguki tena je ndo unamaanisha ni selection?
 
Taarifa hizo ulizowasilisha ni habari za kwenye magenge ya kahawa yaan ni uongo
 
, inaonekana vitu soon kuna link mpya tcu ukilog in kuna chat nzuri ya selection
 
we elank54,acha kuzingua bana,hakuna kitu kama hicho.
 
we elank54,acha kuzingua bana,hakuna kitu kama hicho.

unakataa hadi hiyo link?? Nimefungua mwenyewe na firefox mozilla web in my phone maana opera ilktaa... Kama hutak amini hakuna tatizo..
 
we elank54,acha kuzingua bana,hakuna kitu kama hicho.

Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.
 
Jamani hizi ni tetesi tu zinaweza kua za ukweli ama za uongo.
 
Kwani tatizo lipo wapi? Mbona muda wa kufungua vyuo bado sana kwa nn muwe na haraka na hizo selection. au mnadhani chuo kikuu ni kama sekondari mtakuta wa vyuo vingine wamekata topic kadhaa, na mtafanya mtihani wa Taifa ambao utakua ni mmoja kwa vyuo vyote Tanzania nzima? Waacheni TCU wafanye kazi kwa umakini msiwape pressure ya kutoa selection mapema then wakakosea. mie ningeshauri watoe selection mwezi wa 9 wiki ya kwanza
 
Mkuu kweli ni uzushi.Lakini mimi nimepiga simu leo kupata ufafanuzi wa kukuta kozi ambayo niliibadilisha lakini inaonekana kwenye account yangu.Niliambiwa kuwa admission officer pale TCU hayupo ila yule dada aliyepokea simu nilimuuliza kama selectio imefanyika akaniambia kuwa selection ilikwishafanyika kilichobaki ni kutangaza hayo majina.
kwahiyo uko kubadilika kwa course haija effect selection yako maana mimi mwenyewe nilikuta hivyo hivyo kama wewe...
 
Back
Top Bottom